Mtoto mwenye ugonjwa wa ajabu wa kula mafuta ya kupikia

hayo n mapepo,,nadhan asaidiwe nauli ya kumfikisha synagogue church of all nations(SCOAN) kwa prophet T.B Joshua ,,nmeona case nyingi kama hiz znapatiwa ufumbuz,,
 
Nampa pole sana. Tatizo la mtoto huyu ni miongoni mwa magonjwa ya akili, kuna mmoja kama mnakumbuka alikuwa anakula magodoro,mwingine mapande ya barafu n.k. Apelekwe tu hospital atapata matibabu.
Moods fanyeni huu Uzi uonekane wa kwanza MTU anapoingia jukwaa lolote, shukuru apate msaada.
Imeniliza hii video.
 
Back
Top Bottom