malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,909
- 4,684
Akikaa anasikia maumivu,akiinama anasikia maumivu,anyanyua kitu kizito anaskia maumivujarbu vyakula vya nyuz pia kama mlenda makongoro supu za samaki ale kwa wing itaongeza uroto ndan ya spnal cod na ataweza kubend jtahid ale sana hayo makongoro na ma bamia msusa mlenda samak nk
Nidaktar wa mifupa Tena wajeshi la jwtz yaan hospital ya jeshiHaya matibabu Yako very empirical,unauhakika aliemtibu ni daktari waa mifupa au mwanafunzi wa field hapo hospitali!?
Nlienda hospital ya jeshiUli enda hospital gani mkuu?, pengine tuanzie hapo
Hebu tuliza munkari mkuu, hospital ya jeshi Ina itwaje au mkoa upi?.Nlienda hospital ya jeshi
Masharti aliopewa asibebe vitu vizito,asikae sehemu moja zaid ya saa moja,asiiname,asichukue kitu kwa kuinama,alalie godoro la mgongo,asisafiri kwenye chombo Cha usafiri kwa zaid ya saa moja akiwa amekaa,Habari wakuu kijana wangu wa miaka 9 alikua analalamika maumivu ya mgongo sana,nkaenda hospital mbili tofaut nkakutana na daktari wa mifupa
Akafanyiwa x ray ya mgongo ikaonekana pingili za mgongo zimenyooka,kikawaida zinatakiwa ziwe zime bend,akaandikiwa dawa ya neuroton na declofenac jel ,,mkapa Sasa wiki mbili zimepita anatumia dawa ila analalamika mgongo mkuu
Nakuja kwenu wajuvi wa mambo mnipe maarifa zaidi
Inaitwa milambo Iko mkoa wa taboraHebu tuliza munkari mkuu, hospital ya jeshi Ina itwaje au mkoa upi?.
maana hata huku nilipo Kuna hospital za jeshi mzee
Nitoe pole kwa niaba ya Raisi kwa ndg malembeka,Pole sana kwa changamoto hiyo, I mean no malice to nobody
Yaani Dr bingwa wa mifupa kakuandikia Diclofenac na neurotoin tu akakuacha bila kukushauri chochote?Habari wakuu kijana wangu wa miaka 9 alikua analalamika maumivu ya mgongo sana,nkaenda hospital mbili tofaut nkakutana na daktari wa mifupa
Akafanyiwa x ray ya mgongo ikaonekana pingili za mgongo zimenyooka,kikawaida zinatakiwa ziwe zime bend,akaandikiwa dawa ya neuroton na declofenac jel ,,mkapa Sasa wiki mbili zimepita anatumia dawa ila analalamika mgongo mkuu
Nakuja kwenu wajuvi wa mambo mnipe maarifa zaidi
Ohh kumbe upo tabora mkuu, Kama uko vizuri sogea nae pale aga Khan ya Lumumba, au kitete wako vizuri pia.Inaitwa milambo Iko mkoa wa tabora
Kidumu chama👏Nitoe pole kwa niaba ya Raisi kwa ndg malembeka,
Niwasilishe report kuwa kikao Cha majobless pro max kimemalizika salama na sasa tunarejea kwenye makazi yetu tukiambulia andazi na afiya nyeusi, heshima kwako muheshimiwa Raisi wa chama Cha majobless pro max
Wajumbe tunashukuruni kwa kuja min -me Selikavu Thecoder dosho12 makutupora
Kuna uzi wa bamia therepy ngoja niutafute nikuwekee hapa mkuuHabari wakuu kijana wangu wa miaka 9 alikua analalamika maumivu ya mgongo sana,nkaenda hospital mbili tofaut nkakutana na daktari wa mifupa
Akafanyiwa x ray ya mgongo ikaonekana pingili za mgongo zimenyooka,kikawaida zinatakiwa ziwe zime bend,akaandikiwa dawa ya neuroton na declofenac jel ,,mkapa Sasa wiki mbili zimepita anatumia dawa ila analalamika mgongo mkuu
Nakuja kwenu wajuvi wa mambo mnipe maarifa zaidi
Hayo masharti hata mganga wa kienyeji anaweza kukushauri kiufupi hujaonana Bado na ma Dr bingwa wa mifupa tafuta pesa umpeleke mtoto hospital mkuu.Masharti aliopewa asibebe vitu vizito,asikae sehemu moja zaid ya saa moja,asiiname,asichukue kitu kwa kuinama,alalie godoro la mgongo,asisafiri kwenye chombo Cha usafiri kwa zaid ya saa moja akiwa amekaa,