Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,751
Mrudishe kwa Daktari wake, halafu baada ya hapo naamini atakula chakula. Mpeleke kwa Daktari. halafu tena Ijumaa, Jumamosi au Jumapili, hakikisha umempeleka tena kwa wale madaktari wa upande ule mwingine nao pia wakamuone, usiacheKatoto kamiezi nane kamegoma kula chochote hata ukimkaba anatapika chakula chote,
Cerelac
Uji
Mtori
Juice(embe,papai,parachichi)
Anatumia dawa ya malaria huenda ndio inamfanya ashindwe kula??
Nini kifanyike?
Sky Eclat