Mpelekeni hospitali ni tatizo la ubongo.
Wewe mbona ulikuwa unajiharibia sana na haukuchapwa???Badilisha fimbo ya kumchapia hiyo haimuumi vizuri[emoji23][emoji23]
Aghlab matatizo yanaowakumba Watoto wachini wa miaka6 kujikojolea kitandani au kujinyea ovyo bila kuwahi kutamka anachotaka kusema ni matatizo yanaoletwa na majini. Na kwa asilimia kubwa watoto wanaathirika kuanzia miaka miwili. Mtoto anapewa kiburi na kutojali amri anazopewa. Ubongo wake unafungwa na unapozidi kutoa vipigo ndo anazidisha kutenda . Chakufanya anza kua mpole kwake. Acha kumpa vitu Vingi vya Sukari. Chukua muda umfanyie maombi ya Dua au ya Sala inategemea na imani yako. Kisha unamtafutia Dawa hii "TUHUFAT AL ANZM" Anatakiwa apate dozi2 kwa zaidi ya siku21.. Kwa uwezo wa mwenyezimgu atapona na Ubongo wake utafunguka awe was kawaidaWapenzi habari zenu..
Kuna mtoto wa 5 years huwa akibanwa Hana ghafura huachia mzigo bila hata kuubana .
Kuna muda utamchapa lakini ukimchapa asubuhi mchana anarudia Tena , ukifanya hivyo jioni Tena kajisaidia.
Yaani akisema nataka kwenda chooni tayari yeye kaachia mzigo.
Je tumsaidieje?
Chapa kwa kiboko kizuri muanzi na mfinye kwa kutumia PrizeWewe mbona ulikuwa unajiharibia sana na haukuchapwa???
Wewe ulifanyiwa hivyo??Chapa kwa kiboko kizuri muanzi na mfinye kwa kutumia Prize
Sanaaa Ndiyo maana nina akili na MafanikioWewe ulifanyiwa hivyo??
Mama mdogo hatujawahi kufanikiwa wewe unafugwa tu hapo lumumbaMi nina mafanikio Dada