dah man natumia phone kwa sasa na niko downtown
Ngoja nikifika home nitachukua picha toka kwa laptop yangu ninazo then nitaziweka
Niambie wataka pcha ya nani kati ya hao wote sababu siwezi weka picha ya kila mtu
utaendelea kula kwa macho.....yaani na wewe haka ka jolly bebe nako unaona ka shori kakali??? aiseeee kweli majuu most ya mademu ni kama power mabula shauri ya kubeba box.....
haka ka shori ni kafupi sijapata ona......
Hilo wigi ni kama wale mbwa wa manyoya mengi wanaopendwa na masupastaa wa mamtoni yup yup my dog!kaacha kipilipili chake kaenda vaa nywele za maiti talalallaaa