Mtoto kulala mchana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto kulala mchana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Adm, May 5, 2011.

 1. A

  Adm Senior Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 150
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Familia nyingi kati ya zile ambazo nimebahatika kuzitembelea. Kama familia hiyo kuna watoto wenye umri kuanzia miaka 3 up to 5,pindi wanapomaliza kula chakula cha mchana utaona baba au mama anawaambia watoto wakalale. Swali langu ni kwamba KUNA SABABU GANI YA MSINGI KUWALAZIMISHA WATOTO WALALE MCHANA. Wahusika au wenye ufahamu na hili naomba wanisaidie
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  nenda google utajua faida zake,kiduchu tu ni kukuza ufahamu wa mtoto, mtoto anapolala mchana ubongo hukua vizuri, na isitoshe hata kwa akili ya kawaida mtoto chini ya miaka 7 hawezi kuwa macho saa 12,kama huna mtoto bado jifunze sasa,
   
 3. Amateur

  Amateur Member

  #3
  May 6, 2011
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mtoto anakua vizuri, ubongo unakua vizuri pia. Experience niliyonayo mtoto asipolala mchana, usiku anasumbua sana atakula kwa shida na wakati mwingine hawezi kula kabisa. Lakini akilala mchana, jioni anakuwa fresh hasumbui na kesho yake asubuhi kuamka kwenda shule anakuwa hana shida kabisa tofauti na yule ambaye hajalala mchana.
   
 4. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #4
  May 6, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na wachangiaji wote hapo juu.
   
 5. SOARES

  SOARES Member

  #5
  May 6, 2011
  Joined: Jul 6, 2007
  Messages: 88
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  asante kwa hii elimu
   
Loading...