[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]
[/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Denis Mtima na Gabriel Ngosha
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]LILE sakata la mtoto wa miezi 6 (pichani) kufia mahabusu ya Kituo cha Polisi cha Kova, Mbezi Kwamsuguri, Dar linaendelea! Safari hii, mama wa mtoto huyo, Meradi Meshack ameibua mazito akiwataja polisi jamii kuwa ndiyo chanzo cha kifo cha mwanaye.[/FONT]
[/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Mtoto Thomas wa miezi 6 aliyefia mahabusu ya Kituo cha Polisi cha Kova, Mbezi Kwamsuguri, Dar enzi za uhai wake.
[/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Awali ilibainika kuwa, mtoto huyo aliyefariki dunia Novemba 18, mwaka huu wakati mama yake akiwa amewekwa kituoni hapo kama mhalifu, polisi wa kituo hicho walitajwa kuhusika.
[/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Akizungumza na waandishi wetu, mama huyo alisema yeye na mtuhumiwa wake aliyemtaja kwa jina la mama Na walikuwa wakidaiana fedha za upatu ambazo alikuwa akimdanganya kuwa wanachama wenzake bado hawajatoa.
[/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]
[/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Mama wa mtoto huyo akilia kwa uchungu msibani.
[/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif][/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Baada ya usumbufu wa muda mrefu ndipo wakapishana maneno, mwanamke huyo akampeleka polisi akidai alitaka kumpiga. SOMA ZAIDI>>>>
[/FONT]
[/FONT]