Mtoto kucheza tumboni mwa mama yake

boy mzuri

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
287
436
Habari waungwana wa JF popote mlipo.
Hivi kuna tatzo lolote la mtoto
Kutokucheza tumboni mwa
Mama yake kwa sku tatu au zaidi..

Pengne hata wiki nzima.

Hapa naongelea kwa mwenye mimba ya kuanzia miezi 7........

Wazazi"wazoefu wa haya mambo"
Popote mlipo tunaomba mtujuze

Najua JF ni kiboko ya maswali !
Kwahiyo naamini moyo Wang_
Utatoka mweupe kabisa.

Aksanten.
 
Inaweza kuwa mtoto amegeuka na hawezi kusikia moves zake.

Ila kuhakikisha kuna yupo salama, ni muhimu kwenda hospitali hasa baada ya siku mbili au tatu. Inasaidia pia mama kupunguza mawazo ambayo sio vizuri kuwa nayo.
 
Ndiyo kuna tatizo wahini hospitali wakahakikishe mtoto hana tatizo lolote.

Habari waungwana wa JF popote mlipo.
Hivi kuna tatzo lolote la mtoto
Kutokucheza tumboni mwa
Mama yake kwa sku tatu au zaidi..

Pengne hata wiki nzima.

Hapa naongelea kwa mwenye mimba ya kuanzia miezi 7........

Wazazi"wazoefu wa haya mambo"
Popote mlipo tunaomba mtujuze

Najua JF ni kiboko ya maswali !
Kwahiyo naamini moyo Wang_
Utatoka mweupe kabisa.

Aksanten.
 
Dalili kuwa:
'Mgeni wetu atakuwa mwanaharakati machachari.'

--Huo ni 'Upuuzi' wa Dalalitz. - -

La msingi Fanya hima Mmuone Dakitari ana kwa ana.
 
Habari waungwana wa JF popote mlipo.
Hivi kuna tatzo lolote la mtoto
Kutokucheza tumboni mwa
Mama yake kwa sku tatu au zaidi..

Pengne hata wiki nzima.

Hapa naongelea kwa mwenye mimba ya kuanzia miezi 7........

Wazazi"wazoefu wa haya mambo"
Popote mlipo tunaomba mtujuze

Najua JF ni kiboko ya maswali !
Kwahiyo naamini moyo Wang_
Utatoka mweupe kabisa.

Aksanten.

Ukiona ancheza cheza sana tumboni jua ya kwamba atakuja kuwa kama Mchezaji Ramadhan Shiza Kichuya na huko kucheza cheza Kwake anaanza kujizoesha kupiga Krosi na mipira ya Kona kutokea Uwanja uliopo tumboni mwako.
 
Mkuu nenda hospitali ucheki, wife wangu hata asipomsikia in a day lazima afanye namna mtoto akik ndio atakua na amani, atakunywa maji baridi, au atakula kitu au atamulika kwa tochi tumbo usiku mkali lazima dogo akiki. Sasa wewe ndugu yangu 3 days wala hamkuona shida? Natumai yuko salama tu,anyway labda koz mke wangu ni mimba yake ya kwanza.
 
Ha ha ha haaa.. watu mna maneno balaa
 
kwa uelewa wangu mtoto anatakiwa kucheza kila siku, asa zimepita siku 3 hajarusha hata mkono kwa kweli wahini hospital.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Habari waungwana wa JF popote mlipo.
Hivi kuna tatzo lolote la mtoto
Kutokucheza tumboni mwa
Mama yake kwa sku tatu au zaidi..

Pengne hata wiki nzima.

Hapa naongelea kwa mwenye mimba ya kuanzia miezi 7........

Wazazi"wazoefu wa haya mambo"
Popote mlipo tunaomba mtujuze

Najua JF ni kiboko ya maswali !
Kwahiyo naamini moyo Wang_
Utatoka mweupe kabisa.

Aksanten.
Hongera. Ila nakushauri uwahi hospital.
 
Mkuu nenda hospitali ucheki, wife wangu hata asipomsikia in a day lazima afanye namna mtoto akik ndio atakua na amani, atakunywa maji baridi, au atakula kitu au atamulika kwa tochi tumbo usiku mkali lazima dogo akiki. Sasa wewe ndugu yangu 3 days wala hamkuona shida? Natumai yuko salama tu,anyway labda koz mke wangu ni mimba yake ya kwanza.
Hongera sana mkuu " mkeo inaonekana ana hamu sana na huyo mtoto .... inapendeza kwa kweli
 
Back
Top Bottom