Mtoto kashabalehe huyo!!!

Baba yangu ni msela wangu, ina maana ukiona gadern ya baba yako utamtaka?
Mimi ni wa kiume,ndio maana nimekupa mfano unaofanana na wewe mtoto wa kike!!!!
Kama kweli unaweza ukakaa na baba yako(msela wako),yuko kifua wazi na ukajihisi amani basi una tatizo!
 
Mimi ni mwanaume nimetoa huo mfano nikijua wewe ni binti.
Mimi ni wa kiume,ndio maana nimekupa mfano unaofanana na wewe mtoto wa kike!!!!
Kama kweli unaweza ukakaa na baba yako(msela wako),yuko kifua wazi na ukajihisi amani basi una tatizo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…