SALUM S HEMED
JF-Expert Member
- Mar 4, 2016
- 1,437
- 1,860
maelezo mengiiiiii target mganga arushiwe pesa ...utawapata hao hao
Ilipofika mida ya saa8 akapokea simu inamwambia aende Manzese kituoni akishuka asivuke bara bara atembee mita 200 na asimame atapokea simu nyingine akafanya kama alivyoagizwa baada ya mita 200 kweli alipigiwa akaambiwa mtoto kapatikana atume elfu 30
Karakata kwenye bonde na aliyehusika na huo mchezo ni shemeji yake kabisa mume wa dada yake na jamaa kakiri kuwa kweli kafanya ni masharti alopewa na mganga ili.
Haswa!Umetengeneza tangazo lako vizuri sana.
Aamin sheikhKama kweli hujui Mungu akuongoze ila Kama unapiga promo hata thread yako inaashiria ushirikina.
Kama ni tangazo, kweli liko advanced.
Sio igizo story ni ya ukweli si yakuhadithiwa ,nimeihadithia km story labda kwenye thread yangu ningeweka nb : kuwa sina namba ya huyo mganga na pia sitakuwa tayari kutoa ushirikiano wowote kwa atakaeta mawasiliano.Je hatuwezi kuamini kuwa ni igizo lenye nia ya kumtambulisha huyo wa Sumbawanga na huyo shemeji mtu!!?