Mtoto kanivunjia ndoa.

ukutumia akili kabisa unaleta videmu vyako sehemu ambayo mkeo akija analala... punguza ubahili wewe.. umfuate huko aliko na umwombe msamaha na ikiwezekana jipange mlete mjini, tena inaonekana hata hela matumizi utumi nyumbani wewe,...:frusty:
 
naogopa ndoa yangu kuvunjika Molembe haya maneno yako sina hakika kama ni ya kweli,kwani kama yangekuwa ya kweli wala usingethubutu kuwa na huyo hawara yako,na hta ukweli usingejulikana ina maana we huna dhamiri hata ya kukusuta kouna aibu kumsaliti mkeo?suit yourself mkuu what goes around comes around huyo mtoto ni shujaa.
 
Last edited by a moderator:
Huu uzi sio mahali pake hapa, mods pelekeni kwenye jukwaa la udaku na jokes. Yaani hainiingii kabisa akilini kweli mke wako wa ndoa ambaye hamjaonana siku nyingi anakuja kama leo then unamtuma rafiki yako akampokee stend, ------- kabisa hauko serious wewe dogo. Halafu ulivyokosa haya eti unasema WANAUME TULIO WENGI HATURIDHIKI, jiseme peke yako na umalaya wako kuwa huridhiki na hao machangudoa zako unao nunua buguruni wameshindwa kukuridhisha.
 
Stori yako inafanana na mwanaume mmoja mimi namuita MJINGA. Mkewe kasafiri Ulaya kikazi yeye amempangisha hawara Jirani na ninapoishi sasa alivyo mjinga siku moja moja anakuja na vitoto vyake kabisa anashinda navyo hapo na anavidanganya eti huyo ni Aunt yao ipo siku ataumbuka tu. Na ni kweli kuwa Mwanaume mjinga huharibu nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe kama ilivyo kwa mwanamke mjinga
 

wewe unajua majukumu ya kazi kweli?
 
wewe unajua majukumu ya kazi kweli?

Endelea kuwa busy na majukumu ya kazi na uje kulea watoto wasio wako, next time uje na thread mpya ukiomba ushauri kuwa umebambikiziwa mtoto. Ina maana uko busy na kazi 24 hours ?
 

Liambieni hili jamaa maana maana mimi nashindwa kulielewa kabisa, cjui lina elimu gani kwanza
 
Liambieni hili jamaa maana maana mimi nashindwa kulielewa kabisa, cjui lina elimu gani kwanza

Mbona lina Elimu ya kutosha tu na maisha mazuri sana tu watoto linawasomesha shule za kimataifa lakini wakirudi likizo linakuwa Pumbafu kuwapeleka kwa Hawara.
 
wanaume!!!!!!!

Umetuita wanaume amu au unadhani hii hoja yankujadiliwa na wanaume? Huyu sio, lau kama angekuwa asingefanya ivo au sio
 
Last edited by a moderator:
Liambieni hili jamaa maana maana mimi nashindwa kulielewa kabisa, cjui lina elimu gani kwanza

mi nahisi litakuwa division five! Kumbe hata mwanaume -------- anavunja ndoa yake kwa mikono yake ye mwenyewe?
 
Wanaume bhana hivi mtu ambaye huna malengo naye utampelekaje kwakoo??????
 
Kale katoto kambea sana.

hakunaga mtoto mbeya, watoto huwa ni wasema kweli ndio maana wanaaminika kuliko mtu mzima, maana ningumu kwao kusema jambo la kutunga kuliko mtu mzima!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…