Mtoto kanivunjia ndoa.

Duh kitanda kimoja atumie hawara na mke!ni sahihi huyo mke kuondoka!ila pole kwa kutofikiria athari za kumpeleka hawara nyumbani

Hawara yake gesti tuuu,ht akija nyumbani atafanyiwa kwa zuria.
 
we nae! agghhhh! nashindwa kukuhurumia kwa kuwa umejitakia....
 
Aiseee...mtoto!?? Hata sisi mabachela tunajua demu wa kuzugia haletwi home...Mkuu umeaibisha the whole men fraternity unamsingizia mtoto!??
 
kwanini mkeo umemuacha kijijini? una muda gani mjini? mlete mkeo mjini, mpate tabu na raha wote, hayo ni matokeo ya kujifanya unatafuta mjini mke kijijini, kilugha chetu tunasema "pole kummenya", uncle Elli atakutafsiria. Huyo mtoto wa miaka 6 naye amemsaidia mkeo, ila hiyo tabia inazidi umri wake kwa kweli.
 
:majani7: :majani7: AKUMBUKWE MUASISI BOB MARLEY MWENYEWE, KAPATA WAHANGA, WENGINE HATA HAWAJITAMBUI!

Mmh! Cacico mambo gani tena haya! Nakumbuka bob naye alikuwa anafanya mambo kama haya kwa ritha.
 
Hiyo ndio Daressalam. Polelple utalijua jiji
 

Samahani mkuu kwani we unatokea mkoa gani?, ukinijibu nakupa ushauri ukikaa kimya imekula kwako!!
 
Unaogopa ndoa kuvunjika au ndo imeshavunjika!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…