Mtoto Kamtia Akili Baba'ke.

Mtoto Kamtia Akili Baba'ke.

Tugutuke

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
501
Reaction score
168
Baba: unamjua Nyerere?
Mtoto: hapana.
Baba: pumbafuu.. Zingatia masomo yako!
Mtoto: unamjua Hamis?
Baba: hapana.
Mtoto: pumbafuu... Zingatia ndoa yako!
Nawasilisha.
 
Afanalek!! Watoto wa siku hizi, noma.:A S-confused1::A S-confused1:
 
Ama kweli, hii dunia kwa sasa ina mambo, yawezekana huyo mtoto kajibu hvyo kwa sababu ya nguvu ya umma
 
Back
Top Bottom