Mtoto kampiga chabo mamaye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto kampiga chabo mamaye

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Malumbizo, Feb 7, 2012.

 1. M

  Malumbizo Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna mama mmoja alikuwa mjamzito siku moja alikaa vbaya yaan hakujisitili vizur sa kwa bahat mbaya pemben yake palikuwa na mtoto wake mwingine yule mtoto alipomchungulia mamae akapiga kelele huku akisema mama mtoto anatoka nimeona had nywele zake zile pale akidirect kidole chake kwenye ...ya mamaye
   
 2. d

  dy/dx JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 622
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  mtoto sio huyo.
   
 3. m

  mkazamjomba Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haipendezi tukupe mji
   
 4. DavidHard

  DavidHard JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  imeendana na uhalisia.somehow umejitaidi.
   
 5. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Katoto kajiniazi ,mpaka kanajua kichwa ndicho kinachotangulia kutoka!
   
 6. ngulinho

  ngulinho JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...mtoto wa kichina huyo!
   
Loading...