Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,685
mdogo wangu nitakumezaa.. acha kum pm huyo mtoto mzuriKwa nini bro!?
Huwa unakula watu nn?
mdogo wangu nitakumezaa.. acha kum pm huyo mtoto mzuriKwa nini bro!?
Huwa unakula watu nn?
Aaahmdogo wangu nitakumezaa.. acha kum pm huyo mtoto mzuri
ha ha aha ....dogo kwa vile umenichekesha basi nakuruhusu .Aaah
Bro we miaka yote hiyo na matangazo ya kutafuta ndoa yalivo mengi huku jf hukupata mtu!!!
Huo ni uonezi bhana.
ha ha aha ....dogo kwa vile umenichekesha basi nakuruhusu .
Kumbe Java panauzwa vitu vingi!?😱 Mimi hufuata mbuzi katoliki tu, itabidi nianze kuangaza macho😀😀Awana tofauti na wengine jitaidi ukamate mmoja kama unaishi dar kuna mmoja anajiuza hapa banana kwenye bar moja inatwa java yuko vizuri sana kama mzungu
Wasiwasi ndio akili ungeisha kweli ndugu yangu wabongo wape picha tu maneno wataweka wao.Kuna Albino mmoja nilikuwa na mkubali ila sasa kipindi hiko ndio kukata viungo kumeshamiri, nikaamua kukausha tuu maana nikahisi nia yangu nzuri ingetafsiriwa vibaya kwa wakati huo.
Asee iliniuma sana
[emoji17] [emoji17]Aaah
Bro we miaka yote hiyo na matangazo ya kutafuta ndoa yalivo mengi huku jf hukupata mtu!!!
Huo ni uonezi bhana.