Mtoto Huyu Mmmmh!!

Mtoto Huyu Mmmmh!!

Dmatiko

Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
26
Reaction score
2
Mtoto: Mama hivi
binadamu walitoka
wapi?
Mama: Mungu
alimuumba Adam na
Hawa wakazaa watoto
wakaujaza ulimwengu.
Baba aliporudi zake toka
kwenye kilevi.
Mtoto: Baba hivi
binadamu walitoka
wapi?
Baba: Binadamu
wametokana na nyani,
miaka ikapita wakawa
binadamu.
Mtoto akarudi kwa
mama yake.
Mtoto: Mama we
ulisema binadamu
wameumbwa na
Mungu, baba kasema
binadamu wametokana
na nyani inakuwaje?
Mama: Kila mtu
kaongelea chanzo cha
ukoo wake ndio maana
nyingine hiyo.
 
Back
Top Bottom