Mtoto huyu balaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto huyu balaaa

Discussion in 'Jamii Photos' started by KakaNanii, Oct 4, 2010.

 1. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mtoto alimuuliza swali mama yake.

  Eti mama siku hizi wewe unauza "mchicha" ???

  Mama akajibu, hapana mwanangu. Kwanza kwa nini umeniuliza hivyo ???

  Mtoto akasema, jana usiku nilimsikia baba akisema "nipe chuma mboga " !!!
   

  Attached Files:

 2. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Ni huyo mtoto aliyepo pichani ndo aliyeuliza hivyo? Na huyo mama ndiye mamake wa mtoto na ndiye aliyeulizwa hayo maswali? Kama ndivyo basi unastahili ban.
   
 3. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mbona siyo sehemu yake hapa, aaakh
   
 4. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  :blah:
   
Loading...