Mtoto balaa

Mtoto balaa

piper

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
3,253
Reaction score
612
Mtoto mmoja alipoteza yeboyebo hivyo akawa analia njiani kuelekea kwao akakutana mzee akamuuliza:

Mzee: unalilia nini mtoto mzuri?

Mtoto: (huku akigugumia kwa kilio) nimepoteza yeboyebo zangu.

Mzee: usijali mwachie mungu utapata zingine.

Mtoto: ni ndogo sana hazitamtosha.
 
Mtoto anajua, si wanasema Mungu mkubwa! Heheheeee!
 
Kwa akili za mtoto anona mpaka Baba anamuomba Mungu amsaidie basi atakuwa mkubwa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom