Mtoto aogeshwe mara ngapi kwa siku

Mparee Halisi

Senior Member
Jan 4, 2014
104
8
Habari Ndugu zangu,

Hivi mtoto wa mwaka na nusu mpaka miwili kiafya aogeshwe mara ngapi kwa siku?

Asanteni kwa michango yenu.
 
Inategemea na mazingira kama ni joto aogeshe mara kwa mara ili apate na usingizi mnono, na ngozi ipumue, ka baridi yes mara 2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom