Mtoto anatingisha kichwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto anatingisha kichwa

Discussion in 'JF Doctor' started by Plato, Mar 4, 2012.

 1. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Mwanangu wa kike mwenye miezi 6 amedevelop tabia ambayo nadhani ni zaidi ya jambo la kawaida.ameanza kutingisha kichwa kwa namna ile mtu afanyavyo kuonyesha kukataa jambo.mwanzo tuliona ni mchezo tu kavumbua.lakinisasa hali hiyo ianafanyika mara kwa mara na kilichotushtua inatokea hata anapokuwa usingizini.tunafikiri tufanye nini.kesho tutakwenda hospitali kuwaona madaktari.mwenye kujua case kama hii au kutupa medica explanation atusaidie maana hofu inatushika.asanteni madaktari
   
 2. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Is your child feeding well? Does the child have fever? If feeding well and no fever then could be nothing. Best Take your child to a paediatrician. GOOD LUCK
   
 3. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu ukipata majibu hosp. utujulishe hapa ni nini. Niliwahi kusikia kesi ya hivyo mahali lkn bahati mbaya sikujua kama walipata ufumbuzi wowote juu ya jambo hilo...
   
 4. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  nimemuona Dr Hameer pale kariakoo amemchunguza mtto na kusema hana tatizo.kutokana na wasiwasi wetu akasema tumwone pia Dr.Abdallah? naye atoe maoni yake.tumemwona naye hakuona shida ila akasema ungefanyika uchunguzi mkubwa kwenye ubongo ila kasema kwa mtoto mdogo kama huyu harecomend.kwa hiyo wamesema so far hakuna tatizo ila tuendelee kumuobserve.asante tuzidi kumwombea mwanangu
   
 5. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Kuna gojwa jipya limeibuka, watoto wanatingisha vichwa then wanakufa, kama vipi tafuta magazeti ya leo yameandika hiyo habari
   
 6. Reserved

  Reserved Content Manager Staff Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 750
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nimeisikia kwenye uchambuzi wa magazeti leo ila sikumbuki ni gazeti gani
  Ugonjwa wa watoto kutingisha vichwa
  Please men.da kwa wataalam wa magonjwa ya watoto wakufanyie uchunguzi wa nini kinamsibu mtoto
   
 7. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  km unafanya utani ktk hili Mungu akurehemu.
   
 8. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  mkuu wa kwangu pia akiwa na miezi kama nane hivi alikua anapenda sana kutingisha kichwa lakini si mpaka usingizini. hata mimi nilipata mshituko kwa sababu alikuwa akianza kutingisha anatingisha kwa nguvu sana lakini alikuja kuacha mwenyewe.
   
 9. The hammer

  The hammer JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 2,280
  Likes Received: 1,236
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kuna gazeti liliandika hivyo bt silikumbuki
   
 10. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Pole sana ndugu yangu,huu ni ugonjwa mpya. Ni only one of the many side effects za chanjo.The nervous system some where in the brain has been destroyed.Wengi hatukujua side effects za chanjo tukazikubali kichwa kichwa ,and the worst is still to come.Nakushauri umpeleke aombewe,hakuna jambo gumu la kumshinda Mungu.
   
 11. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Huyo mtu anayesema mtu anayetingisha kichwa hana tatizo ni crazy.Mbona sisi wengine hatutingishi vichwa?Nasisitiza kwamba hiyo niside effects za chanjo.Mpeleke mtoto wako akaombewe.Huu ni ugonjwa mpya na it is expected to sweep through the world and kill many children.The funny thing is it affects only children.To me they have been targeted for a purpose.
   
 12. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
 13. JS

  JS JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Chanjo zipi hizo? Tafadhali tujuze ili tupate ufahamu zaidi
   
 14. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #14
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huenda ni tatizo la nerves,mpeleke Muhimbili
  usiende uchochoroni.

  Mpeleke na kwenye maombi(ushauri wa ziada)
   
 15. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #15
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ni kweli jamani imeandikwa
  msamehe
   
 16. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #16
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Nakushukuru sana ndugu.mimi ni mkristo mkatoliki na najua kuwa Mungu ndiye anawapa maarifa madaktari na kwamba wao hutoa dawa lakini anayetibu ni Mungu mwenyewe na hata sasa naomba wakati huo nikiwaona wataalamu.sasa hili la kusema nimpeleke mwanangu akaombewe sijui unamaanisha nini? kama unamaanisha kwenda kwa walokole,basi mimi siamini katika uchawi mkuu.lile la side effect za chanjo ni la kuangalia lina weza kuwa na some truth tutafatilia bado kwa madaktari na siyo kwa waombezi.kama nimekuwa rude nisamehe
   
Loading...