Mtoto anatafutwa

maharage ya ukweni

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
1,402
3,174
Asalaam aleykum!
Wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyoonyesha, huyu mtoto ametoroshwa aende kufanya kazi za ndani Dar es salaam.Yuko kidato cha nne lakini amedanganywa na mwenzake na kuamua kuacha masomo wiki mbili zilizopita.Ametoka Tanga maeneo ya Lushoto kata ya Lukozi, atayemuona atoe taarifa polisi au apige simu 0687 547474
 
Attachments

  • 20170114_164227.jpg
    20170114_164227.jpg
    217.5 KB · Views: 85
Huyu ni mtu mzima sio mtoto. Kausha wekwa geto. Mkimpata atakuwa na kijusi tiyari
 
Mhhhhhh hapanaaaa huyuu atakuwa mahalii na wanaume wa dariselama,
Mkuu umejuaje kama ametoroshwa kwenda kuganya kazi,
Umeripoti polisi?
Huyo aliyemtorosha unamjua?
Mawasiliano yake yanapatikana?
Mitandao ya kijamii kama fb nk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom