Nawe mbona unakabania acha kawe ka messi. hiyo ni dalili nzuri ya kidume cha kazi
Tatizo alikuwa haruki hivi au hii ligi ya uingereza imemnogea?
Katakuwa ni kacheza kung fu hako,usimseme akishakuwa mkubwa atakuzinguaaaa
Hiyo mimba ni unplanned pregnancy nini yaani kitoto kuruka umeshahisi ni ugonjwa kha kwa hiyo ulifikili una chura tumboni.
Ndo ubunifu wake umeishia hapo,mama yoyoMh! Naweee! I see umechangia kwa akiliiii
Meza tenesi umzae 'Niyonzima'
nakutamani
huwa raha mtoto akicheza.
Katoe shukrani kanisani, Kwani jambo jema sana kwa mtoto kurukaruka tumboni,Na tamani acheze hadi usiku.
Mimi nina ujauzito wa kwanza wa takribsni miezi 5. Hivi karibuni mtoto alikuwa kimya kwa takribani wiki [yaani hanipigi saana]. Kwa muda wote huo nilikuwa ndani tu bila kutoka hata nje nipigwe jua. Juzi nilitoka na hsz b wangu tukatembea kwa takribani 3km. nilichoka kweli kweli hadi miguu inaniuma. Kuanzia hapo sasa kababy kanazunguka speed ya ajabu utadhani piranha/samaki japo sipati maumivu. Je hii ni normal?
nahisi kanaruka sarakasi aina zote, loh! Hivi miezi mitano ni wiki ngapi vile? Quickening huanza around week ya 18. Unatakiwa ufurahie na kumshukuru Mungu maana! Nikifikiriaga mambo ya mimba huwa nawabariki tu wanawake wote walio kwenye kipindi cha uzazi. Sijui nimezoea kukutana na abnormal wengi mno! Mungu awape baraka wale wote wanaotunza mimba na kuzaa na kulea watoto wao.