Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
ilipata jibu sahihi au jibu stahiki?Ilishakuja hapa hii
Hii nayo ilishakuja hapa??
![]()
Anafundishwa kucheza.
Hii inaitwa kuwa uyaone, matamu na machungu ya hii kitu.
Hii kitu inaweza kukufanya upoteze maisha yako, hii kitu inaweza kukufanya ufilisike, na hii kitu yaweza kukufanya utajirike, iheshimu sana
Anafundishwa kucheza.
kama TOT