Mtoto anachemkaaa akipimwa hana malaria....

PAMAGE

Senior Member
Nov 15, 2016
150
225
Msaada wenu wapendwa mwanangu ana miezi 5 amekuwa akisumbuliwa na homa yaan anakuwa na joto kalii kichwani mikononi na tumbo ila kila nikienda hospital mtoto hana malaria. Japo mwanzo nilimkuta damu kimepungua sana akapewa dawa kwa sasa damu ni 12.3 na hana
Tatizo jingine je shida yaweza kuwa nini?
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
45,398
2,000
Hukamaliza kuandika lakini joto zaidi ya degree 37 si hali ya kuiacha kwa muda mrefu.

Kama una feni muwashie
Mmkande kwa maji ya baridi
Punguza nguo ikiwezekana abaki na nepi
Mpe Panasonic au paracetamol
 

ichumu lya

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
1,958
2,000
Hukamaliza kuandika lakini joto zaidi ya degree 37 si hali ya kuiacha kwa muda mrefu.

Kama una feni muwashie
Mmkande kwa maji ya baridi
Punguza nguo ikiwezekana abaki na nepi
Mpe Panasonic au paracetamol
Nashauri ampeleke hospital akawekewe drip za maji joto hilo linakausha maji na damu kwa kiwango kikubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

CROSSFIRE

JF-Expert Member
Mar 4, 2018
460
1,000
Mkuu mpaka sasa kuna magonjwa takribani 88,000 yaliyongunduliwa.

Back to topic, watoto hao mostly husumbuliwa sana sana na pneumonia.

Tafuta daktari amkraki vizuri kitaeleweka.

Ikishindikana muone Mshana Jr.
Msaada wenu wapendwa mwanangu ana miezi 5 amekuwa akisumbuliwa na homa yaan anakuwa na joto kalii kichwani mikononi na tumbo ila kila nikienda
 

Sosthenes Maendeleo

Verified Member
Oct 24, 2012
2,574
2,000
Hukamaliza kuandika lakini joto zaidi ya degree 37 si hali ya kuiacha kwa muda mrefu.

Kama una feni muwashie
Mmkande kwa maji ya baridi
Punguza nguo ikiwezekana abaki na nepi
Mpe Panasonic au paracetamol
Mtoto haruhusiwi kuwashiwa feni. Paracetamol anaweza kutumia kulingana na ushauri wa daktari

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kertel

JF-Expert Member
May 11, 2012
4,129
2,000
Hata hopitali joto likizidi wanawashiwa feni kulipunguza.
feni si nzuri,mostly zinakua na vumbi hivyo kuleta madhara kwa mtoto,,paratemolna kumpunguza nguo inatosha,ni jukumu la mganga/dakatri kumchunguza mtoto ili kujua tatizo lake coz si kila homa ni malaria na kuna magonjwa mengi yanayopresent kama malaria
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom