Mtoto amekua, kawa pisi kali

Mtoto amekua, kawa pisi kali

Yuko 2nd year nafahamiana na rafiki yake mmoja. Anajitahidi kutokuwa na skendo, ana nafuu sana kuliko wenzake kibao wenye mambo mengi ila hawafatiliwi na sio maarufu. Uzi huu kuna speculations ambazo ni bullying kwake

hili ndio la msingi,hayo mengine hayatamsaidia kabisa kwenye maisha yake.
 
Back
Top Bottom