Huna akili we, unawaza ujinga tu.hujui wazazi na ndugu zake wamehangaika kiasi gani, sio kila kitu ni lazima uchangie, fala wwHapo watu washagonga mpaka basi..
Hivi lile tusi la kumtukana mama mzazi linaitwaje....Huna akili we, unawaza ujinga tu.hujui wazazi na ndugu zake wamehangaika kiasi gani, sio kila kitu ni lazima uchangie, fala ww
Ohoooo!!!Hapo watu washagonga mpaka basi..
Lugha aliyotumia sio sahihi lakini vile vile haingii akilini binti wa miaka 15 apotee Handeni aje kuonekana Kibaha!!Huna akili we, unawaza ujinga tu.hujui wazazi na ndugu zake wamehangaika kiasi gani, sio kila kitu ni lazima uchangie, fala ww
Binafsi naamini hivyo...ila nilidhani kugongwa ni tafsida rahisi na sahihi ya maana halisi..Lugha aliyotumia sio sahihi lakini vile vile haingii akilini binti wa miaka 15 apotee Handeni aje kuonekana Kibaha!!
Wasiishie kuamini kwamba alipotea... isije ikawa alitoroshwa na mafedhuli!
Nilivyosoma heading kitu cha kwanza ambacho kilinijia ni kwamba mleta mada hapo kabla alileta thread kuhusu kupotea kwa mtoto na sasa nikadhani ameleta mrejesho kwamba mtoto kapatikana!!!ni mimi peke yangu ndiyo naona kichwa cha habari hakijakaa sawa au ni cha arusha ??