MatikaC
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 1,190
- 478
Safari hii atapanda ndege kwenda Amerika
sidhani kama hiyo dawa inaweza mfikisha mbali namna hiyo....sana sana akifika mbali ni seychelles labda
Safari hii atapanda ndege kwenda Amerika
Kuna mganga anatafuta promo hapa.
Hako katoto katakua kanapepo,niliskia kwenye taarifa ya habari juzi hakana stori na mtu ila kakiona wanyama ndo kanapiga nao stori...eti kanapiga stori na nyau
Inaelekea sasa kuwa nilichoona kupitia ITV akisema Mama mzazi wa mtoto huyu kupotea kwake si kwa KAWAIDA inawezekana kuwa kweli!!!! Mungu asaidie apatikane!!!!
Nadhani mchungaji gwajima hahaha
Ushauri wangu wa kibinadamu. Nadhani ni vizuri kwako na ndugu zako wa karibu ikiwa utajiepusha kudhihaki nguvu ambazo huna uwezo juu yake. Unaweza kujiweka katika hatari kubwa usiwe na uwezo wowote wa kujiokoa wewe na watu wako.
Masuala ya kiroho yana nguvu zake na huwezi kudeal nayo kwa elimu na maarifa ya ujanja wa mjini ama madarasani. Hii ni elimu nyingine kabisa inayohitaji uhalisia na si ujanja ujanja. Wewe nenda watukane wachawi wakati wanakuzidi nguvu uone mziki wake.
Nguuv anayotumia Mchungaji Gwajima wewe huna uwezo nayo. Ni vizuri ukajiepusha na makundi ya kishabiki kwa sababu, unaweza kupata usiyoysatarajia na usielewe mlango wa kutokea.
Ni ushauri wangu wa kibinadamu kwako. Jioni njema.
Mtoto aliyesafiri kwa ndege bila kujulikana Happines Ryoba amepotea tena huko kwao Mkokozi,Vikindu.Mama amegundua hivyo baada kurudi nyumbani alipoenda kuwapokea waandishi wa ITV.
Mtoto alikabidhiwa kwa mama yake Sarah Zephania kutoka ustawi wa jamii Zanzibar hapo jana.
Source:ITV
Mama yake anaomba wachungaji,mapadre wamuombee mwanae.