Ni shopping ya sikukuu tu lakini shost hana kabisa mazoea ya kwenda Mlimani City.
Mkuu....!
Labda ungeendelea kusimulia kidogo, ningejua ni jinsi gani Shosti alivyopatwa na janga.
hivi unafikiria ni kazi rahisi kusema hivyo kwa mahabuba mchepuko!!!!hapana si mtaalamu ila unapo iba na hutaki kuumiza upande wa pili inakubidi uwe makini sana .. kwa sasa mkewe watoto na mume hawana furaha kwa jambo dogo tu MAWASILIANO... in advance naenda mlimani city na wife please kama unaratiba ya huku leo usije au uje nikishatoka mbona rahisi.
basi najiweka kwenye viatu vya mwanaumeUnaruhusiwa mkuu.
inategemea tokea mwanzo uliipa vipi uzito familia yako .. kama ulingia kwa gia ya kuiponda huwezi ila kama ulimwambia my family first sidhani ama atakuwa na sayhivi unafikiria ni kazi rahisi kusema hivyo kwa mahabuba mchepuko!!!!
Hakuna ugomvi hapo..... Mwanaume kidume huyo. A woman should be proud of. Ana familia mbili na zote amezihandle perfectly.Huo ugomvi wake sasa
Ndio aendelee sasa.....Story za kutunga zinaishia hewani mkuu!
sidhaniiii,,, wanawake huwa hamkubali haswa....na kamzalia kidume meee,,, hawezi sema hiyo kitu..... hapo ni kucheza karata tuu.... ukila jokeri unakomaa,,, ila kupanga mbinu mkakati na miss no. 2.....noooo..inategemea tokea mwanzo uliipa vipi uzito familia yako .. kama ulingia kwa gia ya kuiponda huwezi ila kama ulimwambia my family first sidhani ama atakuwa na say
duh its pain kwa kwelisidhaniiii,,, wanawake huwa hamkubali haswa....na kamzalia kidume meee,,, hawezi sema hiyo kitu..... hapo ni kucheza karata tuu.... ukila jokeri unakomaa,,, ila kupanga mbinu mkakati na miss no. 2.....noooo..
Mke hakuwa katika hali ya kulizwa pale, ilibidi kumtuliza mke, Peter aondoe familia, wamefika nyumbani mke alipata namba ya simu ya shost kutoka kwenye simu ya mumewe na kumpigia. Alimueleza aelewe inavyouma akiwa kama mwanamke aelewe kuwa shost anavunja ndoa yake.Ndio aendelee sasa.....
Word mkuu.Ukianza kugombana na mwanaume kwa mtoto aliyekwisha zaliwa ni ujinga tena ujinga maana keshazaliwa. Kikubwa jiongeze ujue mnachochuma, upendo umegawanyika hauko wewe tu sasa bweteka siku ya msiba ndipo utaona. Hawa viumbe ukigombana ndio anafurahiiii
kwani hajui kuwa wanaume lazima apepese macho......akomae atunze watoto...ajue akikimbia maisha yanasonga tuu....ashukuru malaika kamuonyesha...Mke hakuwa katika hali ya kulizwa pale, ilibidi kumtuliza mke, Peter aondoe familia, wamefika nyumbani mke alipata namba ya simu ya shost kutoka kwenye simu ya mumewe na kumpigia. Alimueleza aelewe inavyouma akiwa kama mwanamke aelewe kuwa shost anavunja ndoa yake.
kwani unashangaa nini mkuu si babake ......kitanda haki zai.............?Habari za leo wapendwa,
Jamani leo shost mwingine amepata majanga, huyu niliwahi kufanya nae kazi sehemu flani lakini bado tunamawasiliano.
Kisa chenyewe ni kuwa, shost alipokuwa 30+ aligundulika na fibroids, kwakuwa hakuwa na mume wala mtoto, alikuwa desperate kupata angalau mtoto akihofia baada ya matatibabu anaweza akose kabisa.
Sijui makubaliano yalivyokuwa lakini alikutana na kijana Peter ambae ni engineer, Peter ana mke na mabinti wawili. Shost amebahatika kupata mtoto wa kiume, Peter amechanganyikiwa kwa furaha. Peter aliahidi kumtunza mama na mtoto, aliwapangishia nyumba nzima lakini mbali kabisa na nyumbani kwake, mfano iwe Gongo la Mboto na Mbweni.
Peter alihakikisha mara mbili kwa wiki alikuwa kwa shost akimuogesha mtoto, kumsomea bedtime stories mpaka mtoto akilala ndiyo anaondoka kwenda kwake. Mtoto alimfahamu baba yake na mara nyingi aliuliza kwanini baba hakai na sisi, si fahamu ni jibu gani wazazi walimpatia.
Mke wa Peter hakuwa na fahamu yeyote kwa haya yote yanayotekea. Kasheshe imekuja kipindi hiki cha sikukuu, shost alikwenda kumnunulia mtoto mahitaji ya sikukuu Mlimani City na kugongana uso kwa uso na Peter akiwa na mkewe na watoto wao.
Katoto ka shost masikini kamemkimbilia Peter daddy, jamani Peter aliishiwa nguvu, mke amekuja juu, inakuwaje mtoto apite watu wote aje akuite wewe daddy?
umeleta nusu story malazia ilkuwaje mara tu mtoto alapo mkumbatia baba..vipi mke wa ndo.alisemaje?Habari za leo wapendwa,

atamuita uncle kwani ni uncle wake?Unadhani ingekuwa sahihi Peter angemjenga motto amuite uncle?