Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,307
- 3,416
Wewe acha uongo bwana, hako katoto si kweli kwamba kanafanya mazoezi bali kanajaribu kutambaa kufuata kitoi chake cha gari (angalia kushoto mbele kwenye picha). Hata hivyo nakuunga mkono kwamba mazoezi ni muhimu kwa watu wazima.
Tiba
Kesho nitaanza
unayajua??? Au nijege kukupa kampani niwe instructor wako.!
View attachment 142392
ikiwa mtoto mdogo kama huyu anajua umuhimu wa kufanya mazoezi iweje sisi watu wazima tushindwe???,
lets start now.
Nitafurahi sana maana raha ya mazoezi muwe atleast wawili
Ni uvivu tu!