Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Mtoto anayekadiriwa kuwa wa mwaka mmoja amefariki dunia baada ya kinchosemekana kupigwa na upeo mkali wa bodaboda akiwa amepakia na mama yake huku amewekwa mgongoni
yasemekana mama huyu alikua anaelekea saluni ambapo alipofika na kumweka chini mtoto ili ahudumiwe alikuta mtoto alishakata pumzi muda mrefu na kuangua kilio huku akilalama kwamba ametoka na mtoto akiwa anacheza nyumbani
Uchunguzi wa baadae ulionesha kwamba mtoto huyo alikata pumzi baada ya kuzidiwa upumuaji
HII HUENDA NI TAHADHARI SANA UONAPO MAMA AMEBEBA MTOTO KWENYE BODABODA NA TAFADHALI CHUKUA HATUA NA HASA WAMAMA WANAOELEKEZEA WATOTO UPEPO UNAPOTOKA NA IKIWEZEKANA KUEPUKA KABISA KUOANDA BODABODA UKIWA NA MTOTO