Mtoto afariki kwa upepo mkali akiwa amebebwa mgongoni na mama yake kwenye bodaboda

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
Mtoto anayekadiriwa kuwa wa mwaka mmoja amefariki dunia baada ya kinchosemekana kupigwa na upeo mkali wa bodaboda akiwa amepakia na mama yake huku amewekwa mgongoni

yasemekana mama huyu alikua anaelekea saluni ambapo alipofika na kumweka chini mtoto ili ahudumiwe alikuta mtoto alishakata pumzi muda mrefu na kuangua kilio huku akilalama kwamba ametoka na mtoto akiwa anacheza nyumbani

Uchunguzi wa baadae ulionesha kwamba mtoto huyo alikata pumzi baada ya kuzidiwa upumuaji

HII HUENDA NI TAHADHARI SANA UONAPO MAMA AMEBEBA MTOTO KWENYE BODABODA NA TAFADHALI CHUKUA HATUA NA HASA WAMAMA WANAOELEKEZEA WATOTO UPEPO UNAPOTOKA NA IKIWEZEKANA KUEPUKA KABISA KUOANDA BODABODA UKIWA NA MTOTO
 
Ndio matatizo ya watoto kuwa na mtoto,mama ana miaka 16 kazaa akiwa na miaka 15,mtoto mdogo unaenda nae saloon kwenye kemikali hydroquinone na zebaki na silicon kisha unampakia kwenye bodaboda khaaaaaa.
 
Itakuwa Bodaboda alikuwa speed sana
Huyu mama hata kugundua mtoto anavyosafokat jaman? Hapa unawezekana tena alikuwa akimtuliza alivyokuwa akihangaika kukata roho
 
Ndio matatizo ya watoto kuwa na mtoto,mama ana miaka 16 kazaa akiwa na miaka 15,mtoto mdogo unaenda nae saloon kwenye kemikali hydroquinone na zebaki na silicon kisha unampakia kwenye bodaboda khaaaaaa.
Nyanda za Juu Kusini wanasema "Chali kina Mwana"
 
Kwani moshi uliochanganyikana na petrol kutoka kwenye bodaboda haviwezi changia?

Je alivyomfunga hiyo mbeleko haiwezekani alimkaba shingo?

Bodaboda haziruhusiwi kubeba mshikaki, je mama mwenye mtoto huo sio mshikaki?
 
Back
Top Bottom