Mtoto 26 ni halali kudai bima?

Mtoto 26 ni halali kudai bima?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,939
Reaction score
67,459
Hello

Naomba ushauri uyo ni binamu yangu ana miaka 26 baba yake amefariki alafu mama yake wakambo ndio anawatunza sasa kilicho tokea huyu mtoto ana mdai mama wa kambo hela ya kulipia bima mpka wanagombana na mama yake nashindwa kuelewa kabisa

Huyu mtoto alipelekwa chuo mliman pale akachezea alikuwa anapata mkopo yeye akaona Bora atafute jimama akae nae bas wamefuja hela hiyo ya mkopo now anatia huruma

Binafsi yangu najione mzigo af namuonea huruma aunt yangu kibaya zaidi huyu mtoto anavuta bangi
 
Siyo jukumu la mzazi kumtunza mtu mzima wa miaka 26. Mzazi ana jukumu la kumtunza mtoto yaani wa umri wa chini ya miaka 18.

Huyo ndugu yako hiyo pesa ya bima aingie mtaani aitafute. Na wala hawezi kushitaki popote akawa na mashiko.

Labda sana ana haki tu kwenye mirathi ya marehemu baba yake kama alipewa chake.
 
Acha wivu ona sasa umekua na roho ya kichawi unajua migogoro ya familia za watu kuliko familia yako
 
Daaah we dogo unatia huruma sana 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom