Mtonyaji serikalini; Usalama wa Taifa wampa JK mtihani mzito kuhusu CHADEMA kuelekea 2015

Status
Not open for further replies.
Hizi siyo tetesi mkuu, hizi ni habari za uhakika. Niliposema serikali inataka kutunga sheria ya kuthibiti vyama vya upinzani sikuoteshwa niliambiwa na mtonyaji huyo huyo. Mwezi moja baadaye kamati ya nchimbi imekuja na pendekezo lile lile. Na lengo la ni mbaya sana dhidi ya Chadema. Time will tell.

sasa kwani upinzani ni cdm tu?? tuache kutaka huruma za wananchi bali tujitume kwa bidii katika kujenga chama imara kwa uwajibikaji kila siku kuja na heading zenye uonyesha kwamba cdm wanaonewa hakuwafanyi watu waiamini cdm kama mkombozi manake kwa aina hii huwez kuitofautisha cdm na mtoto mdogo ambaye muda wote anategemea huruma ya mtu mkubwa kumsaidia.
 
Wao ni watu na sisi ni watu, hii ni tahadhari tu, wasitufanye tukawa kama Frelimo.
 
unaletahabari za kufikirika!!,kaa na watoto wako nyumbani jion uwapigie iyo hadih,unajifanya unatonywana usalama kumbe hewa tu nja inakusumbua!,kako...e ukalale!
 
nadhani Mh Rais hawezi fanya yale yatakayoweza waangamiza watu waliompa kura kwa miaka 10,kama kutakuwa na chaguo basi ni lile la kuacha demokrasia ichukue mkondo wake na bado hili haliwezi kusema nani atachukua nchi ktk uchaaguzi wa mwaka 2015 kwani uchaguzi huo utategemea na nani amechaguliwa kuongoza bendera ya chama chake ktk nafasi ya urais.
kwa mfano kama CCM itamweka mama Migiro na ushindi ukawa ni atakayeongoza kwa kura hata moja basi Rais Kikwete hatakuwa na haja ya kuchagua njia ambayo itamweka hata yeye matatizoni pindi tu atakapostahafu.
na nalisema hili kwa kuwa CCM bado inawapiga kura Zanzibar na ni CUF tu ndio wenye kukubalika kule na tuelewe kura za uraisi zitahesabiwa na zile za zanzibar na hii itawapa uraisi wanaccm kupata ushindi hata kwa kura 1 ama 0.5 tu.kitakachopungua ni asilimia labda itakuwa 51% lakini ndio ushindi wenyewe utakavyokuwa.
kufa kwa CCM kutatokea pale tu kitakapovunjika,yaani ikitokea kama ya KANU kule kenya na hii yawezekana isitokee maana hata wao tayari wameliona hilo na safu ya sasa ya uongozi huenda ikaanza mapema kuwasambaratisha wale wanao onekana ni kikwazo na watakaoleta mgawanyiko ktk chama.
labda tuwe tumesahau tu,lakini tukumbuke mvutano kama huuu ulitokea zanzabir wakati kambi ya makamu wa sasa wa raisi ilipokuwa imara sana na kumfanya mzee shain kuwa mashakani,lakini kilichotokea ni kama mlivyojionea,mzee shain ni rais wa zanzibar na mwenzake ni makamu wa raisi wa muungano,
kwa mfano huo,kamwe wale wanaotaka madaraka hawataweza kuleta mgawanyiko ktk chama kwani njia zipo za kuwatuliza.
ni maoni yangu tu,hulazimishwi kuyakubali
 
Craaaaaaaaaaaaaaaap hakuna kitu hapa zaidi ya majungu + uwongo + fitna tu. Nyie CDM kila siku mnawashambulia usalama wa taifa kuwa wanataka kuwaua, leo hii wameisha kuwa rafiki zanu, huu ni uzandiki wa hali ya juu. Na JF ikiendelea kupokea thread km hizi inazidi kupoteza umaarufu wake. Na mie kesho naweza kuja na thread ' Slaa apanga njama za mauaji kwa Zitto' nikasema mtonyaji ndani ya CDM ameniambia, tutafika wapi ???. Ww ni kiongozi wa cdm na hakuna jipya kwenye hii thread yako na unajulikana humu JF kwa habari zakutunga
 
Hakika kama ndio hivyo basi maana ya Usalama wa Taifa siioni. Niende kwenye mada. Njia zote zaweza kutekelezwa wakitaka.
Njia ya kwanza ni matumizi ya DOLA hapo ni hatari kubwa na maafa.
Njia ya tatu nayo ni matumizi ya DOLA nayo pia ni hatari kwa sisi wanyonge.

Usalama wa Taifa kama mnataka mbinu na mpo hapa JF nitumieni niwape MBINU kupitia PM tafadhali.
Mimi nilipenda sana kujiunga na Idara ya Usalama wa Taifa lakini sikufanikiwa kabisa sifahamu jinsi ya kuweza kufanikiwa kufika hapo LAKINI leo naomba niwape mbinu za mtu ambaye hajawahi hudhuria mafunzo Israel, wala Urusi. Tuma PM na jitambulishe niweze jua kuwa wewe ndiye.
 
Hakika kama ndio hivyo basi maana ya Usalama wa Taifa siioni. Niende kwenye mada. Njia zote zaweza kutekelezwa wakitaka.
Njia ya kwanza ni matumizi ya DOLA hapo ni hatari kubwa na maafa.
Njia ya tatu nayo ni matumizi ya DOLA nayo pia ni hatari kwa sisi wanyonge.

Usalama wa Taifa kama mnataka mbinu na mpo hapa JF nitumieni niwape MBINU kupitia PM tafadhali.
Mimi nilipenda sana kujiunga na Idara ya Usalama wa Taifa lakini sikufanikiwa kabisa sifahamu jinsi ya kuweza kufanikiwa kufika hapo LAKINI leo naomba niwape mbinu za mtu ambaye hajawahi hudhuria mafunzo Israel, wala Urusi. Tuma PM na jitambulishe niweze jua kama wewe ni mtu nyeti.

Bubu Msemaovyo unamaana gani? Umetumwa na Usama?????????????
 
Tatizo la CCM ni ugomvi wa ndani, Rushwa na Ufisasdi. Wakiyaweza haya litabaki tatizo la msinigi ambalo hawana ujanja nalo. Hili si lingine bali wakati. Wakale walisema kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho na mwisho wa CCM umeshawadia
 
Unakipaji cha kutunga mashairi,na ufunuo wako ni wakina haaaa haaaa pauka pakawa usalama gani watakwambia mtu kama wewe labda askari kanzu tu,mfyuuu kale upumzike jua kali
 
Yetu macho na The Hague inavyowapenda viongozi wa Afrika, tym will tell its better I shut up.
 
Mikael ni kweli kabisa,unachokisema kama ni kweli wamefikiri hilo, shida kubwa ya ccm ni wao kwa wao,unafikiri kweli sitta atakubali lowasa achukue nchi? atakubali pia mwakyembe lowasa achukue nchi? Membe(joka la mdimu) atakubali Lowasa achukue nchi?

Hapo ni changa moto,ila wao ccm wanaweza kutumia baadhi ya viongozi ambao wana tamaa ya hela na ni rahisi kurubuniwa kama Zitto kabwe na Shibuda ambao wao wameandaliwa kwa ajili ya hilo na pia watu kama kina Halima Mdee ambaye japokuwa yeye si muasi ila anasikiliza sana ushawishi wowote kutoka kwa zito kabwe,na hivyo mkakati wa kwanza itakuwa ni ccm inarekebisha katiba haraka iwezekanavyo ili umri wa kugombea urais upungue ili iruhusu Zito kuanzisha mtifuano.

Kinachowatisha sio hata hizo technique tatu ila ni kwa sababu wakianza uandikishwaji wa daftari la wapiga kura,chadema ina karibia 80% ya waandikishwaji vijana(na hapa chadema ndio inabidi wapaangalie sana) nafikiri zito atakuwa mgombea mwenza wa ccm.inatakiwa Chadema iandae vijana 10,00 mpaka 50,000( 500,000 mpaka 1000,000 ambao watagawanyika katika kila kituo) watakao kaa mita hamsini kutoka kituo cha kupigia kura, kwa ajili ya kulinda kura kwa kila kituo Tanzania nzima

CHADEMA wana wachama zaidi ya hao lakini ajabu chama hawajui walipo,
 
nadhani Mh Rais hawezi fanya yale yatakayoweza waangamiza watu waliompa kura kwa miaka 10,kama kutakuwa na chaguo basi ni lile la kuacha demokrasia ichukue mkondo wake na bado hili haliwezi kusema nani atachukua nchi ktk uchaaguzi wa mwaka 2015 kwani uchaguzi huo utategemea na nani amechaguliwa kuongoza bendera ya chama chake ktk nafasi ya urais.
kwa mfano kama CCM itamweka mama Migiro na ushindi ukawa ni atakayeongoza kwa kura hata moja basi Rais Kikwete hatakuwa na haja ya kuchagua njia ambayo itamweka hata yeye matatizoni pindi tu atakapostahafu.
na nalisema hili kwa kuwa CCM bado inawapiga kura Zanzibar na ni CUF tu ndio wenye kukubalika kule na tuelewe kura za uraisi zitahesabiwa na zile za zanzibar na hii itawapa uraisi wanaccm kupata ushindi hata kwa kura 1 ama 0.5 tu.kitakachopungua ni asilimia labda itakuwa 51% lakini ndio ushindi wenyewe utakavyokuwa.
kufa kwa CCM kutatokea pale tu kitakapovunjika,yaani ikitokea kama ya KANU kule kenya na hii yawezekana isitokee maana hata wao tayari wameliona hilo na safu ya sasa ya uongozi huenda ikaanza mapema kuwasambaratisha wale wanao onekana ni kikwazo na watakaoleta mgawanyiko ktk chama.
labda tuwe tumesahau tu,lakini tukumbuke mvutano kama huuu ulitokea zanzabir wakati kambi ya makamu wa sasa wa raisi ilipokuwa imara sana na kumfanya mzee shain kuwa mashakani,lakini kilichotokea ni kama mlivyojionea,mzee shain ni rais wa zanzibar na mwenzake ni makamu wa raisi wa muungano,
kwa mfano huo,kamwe wale wanaotaka madaraka hawataweza kuleta mgawanyiko ktk chama kwani njia zipo za kuwatuliza.
ni maoni yangu tu,hulazimishwi kuyakubali

Nyie watu naona mnataka ku-justify uchakachuaji na mapema kwakutengeneza mazingira....This time no way hiyo Zanzibar unayoisema ina population ya kiasi gani had i determine Rais kutoka CCM? Ujanja wenu tunaufahamu please kaeni mbali na huu uwongo wenu this time no way out....
 
wewe umetunga mambo yako kichwani kisha kutuandikia makala ndeeefu! halafu unasingizia umeambiwa na usalama wa taifa. sema tu ukweli kwamba hayo ni mawazo yako unayodhani.na unaposema kuwanyanganya nchi chadema kama ilivyofanyika 2010; mimi sikujua kwamba chadema ndo walishinda! sasa kumbe mwenzetu unaonekana una habari hizi.hebu tupe vizuri.

wewe unamatatizo kama hukujua kwamba cdm walishinda,nenda mhimbili upate msaada.
 
njia ya kwanza na ya tatu zote haziwezi kuleta amani wala maendeleo ya nchi. Kwa nini watu hawajipangi kuijenga tanzania wao ni madaraka tu? Nchi zote zinazotuzunguka isipokuwa malawi na zambia wamepiga vita lakini wapo mbali kimaendeleo ,
 
Our lost destiny only can be retained not only by political emosions but also a quick flow of money to which me and you we desired most in order to develope ourselves & a nation at large.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom