DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,900
unashauri angesema dakika ngapi badala ya tatu ?
unashauri angesema dakika ngapi badala ya tatu ?
Labda yeye alimaanisha ubakajidk 3 chache sana ...labda abake...changudoa mwenyewe humnyakui...kwa hizo dk....mpaka akupimie kwanza...hapa ametulisha kasa labda dk 20
Kabisaaaaa mkuu, sis wengine mabashite, tukiona nje ya jukwaa tumesahau formula zote![]()
![]()

Wewe. Dakika Miaka. Usifanye mchezo atiiunashauri angesema dakika ngapi badala ya tatu ?
Formula ya kwanza, inasema mwanaume lazima hajiamini, kujiamini ni pamoja kutokutengeza ukaribu via PM![]()
![]()
sawa mkuu, sasa ebu kimbilia pm haraka na usisahau kuleta mrejesho!
hahah! sawa muosha rungu,Wakati mwingine wanaume huwa tunajichunisha wenyewe kudhani hela ndo kila kitu,hao wanawake wanaoonekana cash madam tunawaendekeza tu,ndio maana unaweza kuchunwa kisha pesa hiyo akahongwa muosha rungu hahaha!!
Kwani inachukua dakika ngapi kumuona mwanamke Na kumsalimu?!!,kumbuka one mistake one goal.dk 3 chache sana ...labda abake...changudoa mwenyewe humnyakui...kwa hizo dk....mpaka akupimie kwanza...hapa ametulisha kasa labda dk 20
Vip kwako week moja haitoshi ?Wewe. Dakika Miaka. Usifanye mchezo atii

Hahaha,rapport is all what you need at firstmuosha rungu Hii kweli dakika tatu maana hata jina lako linanitosha kukamilisha mkuu, muosha rungu ? ?????!!!!!
Anamaanisha ck yakumwambia I love you dk3 jibu ushapatayani ndani ya dk 3 ndo unasaula hayo yote au mi ndo sijaelewa?

Hata week 52 hazitoshiVip kwako week moja haitoshi ?
This convo is between me and you.
Achana na ile dakika tatu![]()
![]()
![]()
aaanha ila haya mambo michosho sana yan manakua kama mnawindana yani..inaweza kua unajitutumua umuingize kwenye 18 kumbe yeye ndo anakukamata yaniAnamaanisha ck yakumwambia I love you dk3 jibu ushapata![]()
heeeee week 52 unaskiliza tongozo tu ? wewe n ahuyo anayetongoza mtakua hamna kazi za kufanya?Hata week 52 hazitoshi
heeeee week 52 unaskiliza tongozo tu ? wewe n ahuyo anayetongoza mtakua hamna kazi za kufanya?
