Mtoe out mtumishi wa Mungu ubarikiwe

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,023
1,315
e7b7395bd84e64a32e85ebc268714fe3.jpg
 
Hili jina ni la kinyakyusa, kama ndo hivyo basi inawezekana huyu yuko serious kweli maana Mbeya kuna dini na watumishi wengi wasioeleweka. Dini kwao ni kama fashion
 
Tuacheni kudhalilisha hadhi ya watumishi wa kweli,,kumuita mtu asiejitambua kama huyu mtumishi ni kudhalilisha hadhi ya cheo cha utumishi.Huyu dogo hana hadhi ya kuwa hata mtumishi wa uma.Na asipojichunguza akili yake ataishishia kuwa biskuti.
 
Yeye ni nabii wakutolewa out

Watanzania nigani mazee

Huko kwenye Facebook umeshindwa kumwambia unaleta huku kusikilizia maoni ya wadau.

Mimi page kama hizo siwezi zifuatilia. Au kujiunga magroup yenye mwelekeo huo.

Linda sana roho yako maana huko ndiko chemchem za uzima zilipo.

Manabii wa leo wana-exploit ujinga kwenye jamii inayowazunguka
 
Back
Top Bottom