Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,771
- 32,394
Tupo out hapa. Mbu tu wanasumbua anataka turudi ndani.Hii inawahusu wanaume waliooa ila hawapendi kuwatoa out wake zao.
Mtoe out mkeo, ni mwanamke mzuri ambaye alihatarisha maisha yake ili kukupatia watoto.
Anakuhudumia chakula kitamu kila siku.
Anakuweka safi na nadhifu. Anakupa mwili wake kwa raha zako.
Anasimama nawe wakati wengine wote wanapokuacha.
Anatumia mapato yake na wewe na watoto wako.
Anastahili umakini wako.
Unaweza kumudu kumpeleka out kwa chakula kizuri usiku wa leo. Cheza naye music. Shika mikono yake yenye joto na mkumbatie kiuno chake hadharani!
Mapenzi sio jambo la siri. Upendo lazima udhihirishwe. Upendo huenda zaidi ya hisia kwa vitendo. Upendo ni kitenzi amilifu. Mapenzi sio matamanio. Upendo hubeba vitu vinne ambavyo ni..
Mawazo
Hisia
Neno
Tendo.
Wanaume wenye busara huwatendea wake zao kama malkia. Bali walio wajinga wanaendelea kulalamika kuhusu mwanamke waliyemchagua. Wanaume wenye busara wanajua ukitoa mapenzi yanarudi kwako.
Anayempenda mke wake anajipenda mwenyewe (Efe 5:28).
Barikiwa
Usilalamike kwa mwanamke uliyemchagua mwenyewe, tumia busara kama mwanaume mwenye akili timamu kumuweka sawa mama Sasha.
Huyo amefanya jambo baya. Sasa na ww usimfanyie jambo baya mkeo, mkeo usimshike hadharani utamfananisha na makahaba wanaoshikwa barabarani.Ikiwa kuna mwanaume ana ujasiri wa kushika hadharani kiuno cha kahaba halafu hawezi kushika hadharani kiuno cha mkewe utamuweka kundi gani mwanaume wa hivyo?
Mi si Mpemba wala Mzaramu, namtoa mke wangu kipenzi kila akipata muda, sana sana siku za Ijumaa baada ya kazi.Hii inawahusu wanaume waliooa ila hawapendi kuwatoa out wake zao.
Mtoe out mkeo, ni mwanamke mzuri ambaye alihatarisha maisha yake ili kukupatia watoto.
Anakuhudumia chakula kitamu kila siku.
Anakuweka safi na nadhifu. Anakupa mwili wake kwa raha zako.
Anasimama nawe wakati wengine wote wanapokuacha.
Anatumia mapato yake na wewe na watoto wako.
Anastahili umakini wako.
Unaweza kumudu kumpeleka out kwa chakula kizuri usiku wa leo. Cheza naye music. Shika mikono yake yenye joto na mkumbatie kiuno chake hadharani!
Mapenzi sio jambo la siri. Upendo lazima udhihirishwe. Upendo huenda zaidi ya hisia kwa vitendo. Upendo ni kitenzi amilifu. Mapenzi sio matamanio. Upendo hubeba vitu vinne ambavyo ni..
Mawazo
Hisia
Neno
Tendo.
Wanaume wenye busara huwatendea wake zao kama malkia. Bali walio wajinga wanaendelea kulalamika kuhusu mwanamke waliyemchagua. Wanaume wenye busara wanajua ukitoa mapenzi yanarudi kwako.
Anayempenda mke wake anajipenda mwenyewe (Efe 5:28).
Barikiwa
U mean mpo kibarazani hahahaaa acha ubahiri wa kipare bwashee ππTupo out hapa. Mbu tu wanasumbua anataka turuni ndani.
Endelea na ratiba hiyo mkuuMi si Mpemba wala Mzaramu, namtoa mke wangu kipenzi kila akipata muda, sana sana siku za Ijumaa baada ya kazi.
Chumbani ama hadharani ashikwe tu kiuno, makahaba walijitwalia hiyo mbinu ili kuvunja ndoa za watu halafu wewe unakuja na ulokole wako wa michongo eti mke hashikwi kiuno hadharani, wewe unasali kigango gani weye?Huyo amefanya jambo baya. Sasa na ww usimfanyie jambo baya mkeo, mkeo usimshike hadharani utamfananisha na makahaba wanaoshikwa barabarani.
Au na mkeo ni sawa na makahaba wanaoshikwa shikwa njian?
Ayo mambo kafanyeni chumban
Kwa hiyo hapendi kutolewa out si ndiyo?ni anajua kupangilia hela hukuti ana matumizi yasiyo ya lazima
Walishaoa bosi πWazee wa kukataa ndoa mbn siwaoni tena..
Nimebak mwenyewe?!
U mean mpo kibarazani hahahaaa acha ubahiri wa kipare bwashee ππ
Itoe out B29 mkuuSisi mabachela inakuaje sasa??
Jina lako linakutambulisha ulivyoNdiyo Bwashee.... Tulikuwa out kibarazani. Nlimwambia toka mchana kuwa leo nitamtoa out. Kama uzi ulivyoshauri. Ndo tumekaa hapa namwonesha nyota n.k
Jina lako linakutambulisha ulivyoJina lako linakutambulisha ulivyo
Mm sisali kanisani, kama hayo nd mafundisho yenu kanisani sawa. Na si ajabu kwasbb ikiwa mnanyonyana mate kanisani hamuwezi shindwa kushikana viuno hadharani.Chumbani ama hadharani ashikwe tu kiuno, makahaba walijitwalia hiyo mbinu ili kuvunja ndoa za watu halafu wewe unakuja na ulokole wako wa michongo eti mke hashikwi kiuno hadharani, wewe unasali kigango gani weye?
Na uache maushamba.Mm sisali kanisani, kama hayo nd mafundisho yenu kanisani sawa. Na si ajabu kwasbb ikiwa mnanyonyana mate kanisani hamuwezi shindwa kushikana viuno hadharani.
Babu na mjukuu wake hao π
π€£π kwakwenda mbereBabu na mjukuu wake hao π