Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,933
Amen""Na Iwe Kama Ulivyonena""
Tulieni hadi muoeSisi mabachela inakuaje sasa??
Unampenda mkeo?Huu mtihani sasa unatupa aisee.
Sawa.Tulieni hadi muoe
Mkuu ungejua ndoa nyingi zinavyofuka Moshi ungeanza na kuziombeaHii inawahusu wanaume waliooa ila hawapendi kuwatoa out wake zao...
Mshike kiuno hadharani ni mkeo huyo wala sio dada yako huyolkn nd umshike mkeo kiuno hadharani ?
Kutoana out ni moja ya maombezi ujue.Mkuu ungejua ndoa nyingi zinavyofuka moshi ungeanza na kuziombea
Hayo mambo kafanyeni chumbaniMshike kiuno hadharani ni mkeo huyo wala sio dada yako huyo
Ikiwa kuna mwanaume ana ujasiri wa kushika hadharani kiuno cha kahaba halafu hawezi kushika hadharani kiuno cha mkewe utamuweka kundi gani mwanaume wa hivyo?Hayo mambo kafanyeni chumbani
Matumizi lazima yaende na kipato chako unaweza tumia hata buku kumi tu kwa kumtoa out hadi eneo lenye gharama nafuu.Mmh mama Sasha sasa nimwambie tutoke anaanza kunambia tukitoka tukajiachie hadi tukirudi tushatumia sio chini ya laki, hiyo hela si bora tuongeze ongeze tukaweke tofali hata 200 kule site, anachukua 5000 anaenda kuweka movie kwa flash ndo wikiendi imeisha hivyo, mamamkwe nafikiri alimpiga bamkwe somehow
Yaani mimi nishapiga hesabu namwambia haya j2 mapema beba sasha tukazurure sasa ataanza kuuliza tunaenda wapi, anaanza kupiga hesabu yeye sasa, hii tabia yake sijawahi kuiona na mwanamke yeyoye niliewah kukutana nae ukiachana yeyeMatumizi lazima yaende na kipato chako unaweza tumia hata buku kumi tu kwa kumtoa out hadi eneo lenye gharama nafuu.
Usilalamike kwa mwanamke uliyemchagua mwenyewe, tumia busara kama mwanaume mwenye akili timamu kumuweka sawa mama Sasha.Yaani mimi nishapiga hesabu namwambia haya j2 mapema beba sasha tukazurure sasa ataanza kuuliza tunaenda wapi, anaanza kupiga hesabu yeye sasa, hii tabia yake sijawahi kuiona na mwanamke yeyoye niliewah kukutana nae ukiachana yeye