Miki123
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 289
- 505
Mvua kubwa inayoonyesha japan jumamosi imepasua kingo za mto Kum.a kwenye jimbo la kumamoto na kusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu ikiwemo vifo.
Mpaka kufikia muda huu idadi ya watu 16 wamefariki, na pia mafuriko yaliyosababishwa na maji ya mto kum.a kusambaa.
Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kwenye jimbo la kumamoto pia zimesababisha nyumba nyingi kufunikwa na maji.
Mvua hizi zimeathiri sana watu wanaoishi karibuni na mto kum.a, na ripoti zingine zinaonyesha kuwa idadi huenda ikawa kubwa zaidi.
Kwa taarifa zaidi
At least 20 dead, 14 missing after floods in southwestern Japan
Fourteen dead in flooded Japanese care home
**** River (Japan) - Wikipedia