hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,365
- 80,266
Hahaaa jamaa mawenge sana huyuUnaona eh[emoji12]mi nilijua pembeni juu ya screen ya simu kuna mdudu kidogo nipaguse lakini kucheck vizuri nagundua ni avatar ya mtoa mada[emoji38][emoji1751]
Hahaaa jamaa mawenge sana huyuUnaona eh[emoji12]mi nilijua pembeni juu ya screen ya simu kuna mdudu kidogo nipaguse lakini kucheck vizuri nagundua ni avatar ya mtoa mada[emoji38][emoji1751]
😂😂😂😂😂😂😂😂[emoji1]kuna team uko kwao inaitwa KC KUMAMOTO aisee inaupiga mwngii wakamaria wanapenda kuibetia..tuko nao bega kwa bega wahanga wote wa KUMAMOTO
peno hasegawaAzam TV wanajua kuzuga sana eti badala ya kutujia mji halisi Kumamoto wanatutajia kisiwa cha Kyushu kwa ujumla.