Mto Mapacha Huko Lugonesi Wilayani Tanganyika

Mto Mapacha Huko Lugonesi Wilayani Tanganyika

On my way with wife..... Nataka nifetue mbili mbili Sasa.....
Nimependa Unavyomuunga Mkono Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Kasema Tuzae Tena Mapacha, Elimu Bure Tu
 
  • Kicheko
Reactions: rr4
Source ni ww mwenyewe au TBC?

Wathibitishe kabla ya kutangaza, isijekuwa kama mambo ya Loliondo, walituonyesha viongozi lukuki wakinywa kikombe 😂 drinking a cup ...baadaye wakamgeuka mnyweshaji
 
waache mambo ya kipumbavu. lengo ni kuvuruga habari za uchaguzi wafanye madudu yao. ujinga wa kijinga hivi ulishapitwa na wakati. mikakati ya kijinga sawa na ya babu wa loliondo. kwani mto huu umeanza leo au upo miaka yote? wacha tumalize kwanza uchaguzi, tutakuja tu kunywa, labda mtuambie maji yatakauka kabla ya uchaguzi. pumbaaaaav!
Mwanagunumebakwa nini Mbona keleleeeeeee
 
waache mambo ya kipumbavu. lengo ni kuvuruga habari za uchaguzi wafanye madudu yao. ujinga wa kijinga hivi ulishapitwa na wakati. mikakati ya kijinga sawa na ya babu wa loliondo. kwani mto huu umeanza leo au upo miaka yote? wacha tumalize kwanza uchaguzi, tutakuja tu kunywa, labda mtuambie maji yatakauka kabla ya uchaguzi. pumbaaaaav!
Mkuu hongera sana kwa ulivyojitolea enzi hizo kumfunga paka kengele😄😄
 
babu loliondo ilianza mzaha mzaha kama hivi mwisho wa siku mapoyoyo yakafunga safari kwenda,
 
Kwahiyo familia za hapo na michepuko au Kila nyumba na uzao Ni mapacha wanazaliwa....!!?
 
Kwa Nini tusianze na kufanyia majaribio kwa ng'ombe!!
Kama Nina kumbukumbu vizuri, sijawahi kuona ng'ombe kazaa mapacha.
Hebu tuanzie hapo, hakika likifanikiwa tutapata mifugo mingi Sana.
 
Back
Top Bottom