Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 59,168
- 69,672
Ni Mto Unaotiririsha Maji Chanzo Chake Kikiwa Ni Juu Ya Milima.
Wenyeji Wanasema Kila Mtu Anayekuja Kunywa Maji Basi Amejifungua Mapacha
*Kwa Wenye Mahitaji Ya Mapacha
Safari Iwe Wilaya Ya Tanganyika Kwenye Mto Mapacha
Wakina Mama Na Baba Ufumbuzi Huo Kuhusu Masuala Uzazi
Salehe Mhando Mkuu Wa Wilaya Ya Tanganyika Naye Amekwenda Kunywa Maji Ya Mto Mapacha
Angalizo Isijekuwa Kama Mambo Ya Loliondo
Chanzo : TBC
======
KUNYWA MAJI MTO MAPACHA, UZAE PACHA!
Uongozi wa wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, umewaalika wataalam kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, kwenda kuyafanyia utafiti na uchunguzi wa Maji ya Mto Mapacha uliopo katika Kijiji cha Lugonesi Kata ya Mwese,kilometa 135 kutoka Mjini MPANDA ambayo baadhi ya wakaazi wilayani humo wanadai mtu anayekunywa maji hayo huzaa watoto mapacha.
Mkuu wa wilaya hiyo Salehe Mhando, ameiambia TBC kuwa wananchi zaidi ya 20 wameripotiwa kuzaa watoto pacha, baada ya kunywa maji ya Mto Mapacha na hivyo kuomba maji ya mto huo kufanyiwa utafiti.