Unaenda wapi?hiyo inatumikaga pia kubadilisha IMEI za simu..
Kwahiyo naweza jubadili imel bila hata compyuter mkuuhiyo inatumikaga pia kubadilisha IMEI za simu..
kwa simu za mediatek chini ya android 7 ndo ina kubaliKwahiyo naweza jubadili imel bila hata compyuter mkuu
kwa simu za mediatek chini ya android 7 ndo ina kubali
kazi yake mi ku enable settings ambazo ziko hidden kwenye simu zinazo tumia cpu za mediatekNaomba kufahamishwa kama kuna mtu anajua matumizi ya aplication ya MTK ENGINEERING MODE inayopatikana playstore!!
kwanini unataka kubadili? unajua fine yake au ni miaka mingapi ikijulikana umebadilisha imei?Yangu android 4.3 vipi inaweza ikakubali kweli
kazi yake mi ku enable settings ambazo ziko hidden kwenye simu zinazo tumia cpu za mediatek
kwanini unataka kubadili? unajua fine yake au ni miaka mingapi ikijulikana umebadilisha imei?
huruhusiwi kubadilisha bali kuzirudishia zakwake kwenye nyuma ya betri mkuu.Sasa mkuu kama simu inaandika invalid imel nifanyeje mkuu nisaidie
ni simu aina gani na model gani?Sasa mkuu kama simu inaandika invalid imel nifanyeje mkuu nisaidie
unaenda mburahati then unakula kona kushotoUnaenda wapi?
kwa mimi binafsi naijua ila kama wewe sio mzoefu download app iko playstore inaitwa cpu z alafu ifungue kisha nitumie screenshotSimu za meditek ni zipi mkuu.. na ukitaka kujua ni ya medite unafanyaje?
Za kwenye nyuma ya betrii zimefutika mkuuhuruhusiwi kubadilisha bali kuzirudishia zakwake kwenye nyuma ya betri mkuu.