rogers_issaya
Member
- May 16, 2018
- 55
- 29
hapo ndo changamotoZa kwenye nyuma ya betrii zimefutika mkuu
hapo ndo changamotoZa kwenye nyuma ya betrii zimefutika mkuu
box la simu au risiti?Za kwenye nyuma ya betrii zimefutika mkuu
ni simu aina gani na model gani?
box la simu au risiti?
Simu jamii ya tecnoSimu za meditek ni zipi mkuu.. na ukitaka kujua ni ya medite unafanyaje?
Sio kweli, ziko Samsung pia zinatumia MTK Chips na pia ziko Infinix zenye snapdragon chip.Simu jamii ya tecno
Mfano itel, xtigi,infinix etc
Samsung inayotumia MTK ni jamii ya tecnoSio kweli, ziko Samsung pia zinatumia MTK Chips na pia ziko Infinix zenye snapdragon chip.
Ndiomana akasema jamii ya tecnoSio kweli, ziko Samsung pia zinatumia MTK Chips na pia ziko Infinix zenye snapdragon chip.
Mzee baba unatumia simu mpaka Imei zinafutika hahaha we balaa..Za kwenye nyuma ya betrii zimefutika mkuu
Hii sio mtk ni Qualcomm snapdragonNi huawei Y530-U00
Bro unategemea mtk ya samsung ni sawa na mtk ha xtigi na tecno??Sio kweli, ziko Samsung pia zinatumia MTK Chips na pia ziko Infinix zenye snapdragon chip.
Hii sio mtk ni Qualcomm snapdragon
Yap kwa hio simu hadi ninge kua nayo mkononiKwahiyo haiwezekani mkuu