mtk app engineering mode

Pickford

JF-Expert Member
Sep 3, 2018
210
70
msada mwemye ujuz wa kutumua app ya mtk engineering mode kufaulixha rain isapot .......
 
Hmm..hii thread ngumu,naona zigzag
Wewe ndo unataka urahisi wa kupata bando. Hakuna urahisi wa namna hiyo Boss MTK Engineering tools ni collection ya settings ambazo sinaifanya simu yako ifanye kazi inavyopaswa. Bando linakuja baada ya simu yako kuwa inafanya kazi sawasawa...ukielewa hicho sidhani kama utaona zigzag
 
Aseee,narudia tena,hii thread naona zigzag walahi.
Me nataka bundle
Yametokea wapi haya mkuu.
Stress nini mkuu
 
kuna jamaa anatumia hii app kununua vifurushi ila hua anatumiwa code na jamaa fulani hivi, dah ila watu wanapiga pesa nchi hii
 
vifurudhi vya mwezi kwa bei rahc kama unafaham

Pita na hii

App ya DENT inakupa vifurushi vya bei nafuu na pia inakupa salio la zaidi ya shilingi 5000tzs mara tu utakapo jiunga.

Na kizuri zaidi utaweza kutoa papo hapo kwenye mtandao wowote utakaopenda kama vocha tu na si Mobile Money.

Link

https://jamiiforums.com/Tovzs7sxQX

Tanbihi:Link hiyo niliyoitoa ni refferal link ukijisajili kupitia link hiyo wewe na mimi tutapokea 690 dent bila ya wewe kupungukiwa na chochote.
Jumla utakuwa na dent 1280 ambazo 690 ni bonus ya kualikwa na 590 kama welcome bonus ambazo zina thamani ya shilingi 5000tzs.
 
Back
Top Bottom