we chauro mapenzi yatakuwaje na kanuni mama...!?
Mh aksante Teamo ingawa nina mashaka kama nimewaelewa wewe na Babu..........eti hakuna haja ya kuhangaika KUYAFANYA mapenzi yadumu?!! hebu nielewesheni kwanza kabla sijapanda juu ya meza kwa ubishi!
Hapa ndipo watu watakapomshangaa ODM atakapopiga marufuku vibinti vyake kufanyiwa kitchen party.... Mtu kishalazwa kwenye sita kwa sita mpaka kanogewa, kishazungushiwa viuno mpaka anajisikia kupaa mbinguni. Labda kashapigwa vibao kavumilia. Kishampikia na jamaa limeinjoi mapishi yake.......... afu leo eti majimama ambayo yenyewe ndoa zao zimeyashinda ndo yaje kumkalisha kitako na kumfundisha "Jinsi ya kuishi na mmewe"............Hell NO!

cista....!
yani unapenda nje ya ndoa??!......
inawezekana kweli?
Husninyo kulinda penzi sidhani kama ni sawa na kulazimisha penzi au mimi ndo sielewi leo wajameni!? Mbona kila kitu naona kichina tu hapa?
Najiona kama vile mnaniambia once am married, am being loved so sina haja ya kuhangaika kulidumisha??!!
Inaelekea na mimi nilimuelewa the same na kama ni hilo kuna ukweli ndani yake na there is no real formula ya kujua kuwa mapenzi yanatakiwa kwenda hivi au vile
Au Ad tumeingia chaka
Exactly! But if that love is within your marriage!
MJ1, hebu niambie hayo mahangaiko ni ya aina gani unayoyafanya mapenzi yadumu? Mi naona ni kujitesa tu........ Kama penzi halipo hata uhangaike na kuombewa na mapadre na mashehe wote duniani, hutaambulia kitu zaidi ya kutumiwa kama mashine na wala si penzi la dhati....Mh aksante Teamo ingawa nina mashaka kama nimewaelewa wewe na Babu..........eti hakuna haja ya kuhangaika KUYAFANYA mapenzi yadumu?!! hebu nielewesheni kwanza kabla sijapanda juu ya meza kwa ubishi!
Kuna tofauti kati ya kulinda na kulazimisha penziUshauri mzuri teamo. Tusipende kulazimisha penzi,.
cista angu mj1.....
unawezaje kulinda penzi?...how?.....kwenye hili watu wengi hawajawahi kufanikiwa kabisa....they ended up frustrated!utahangaika weeeeeee!utapekua sms za mumeo wakati kalala weeeeeee!utalia weeeeeeeeeee!utaongea weeeeeeeeeeeeeee!utaacha hadi bra kwenye gari.....trust me IT WILL NEVER WORK!sana sana unamjengea awareness huyo mwenzi wako itakayompa drive ya kufanya kile usichokipenda (that is human nature).
i thought kwamba ''LOVE'' is the solver to all these pro
<br />Husninyo kulinda penzi sidhani kama ni sawa na kulazimisha penzi au mimi ndo sielewi leo wajameni!? Mbona kila kitu naona kichina tu hapa? <br />
Najiona kama vile mnaniambia once am married, am being loved so sina haja ya kuhangaika kulidumisha??!!
hivi ninyi rock na ashadii nina wasi wasi kama nimewaelewa
Teamo... kama mtu ulomuoa ndio huyo unampenda Mshukuru saana Mungu na hakikisha kua kila siku unapiga magoti kumshukuru... For ina maana unamthamini Mkeo which is very good.... Achana na kitu kinaitwa Mapenzi... unaweza kua umeolewa/oa lakini bado you fall in love na mtu mwingine (it is not right but Mapenzi hauwashi ama kuzima kwa kuchagua) BUT what makes us better people ni ile utambuzi kua huyo ulo nae (mme/mke) hata kama humpendi tena ni mambo tu yametokea na kwambo you loved him/her once ... hivo hayo ni mapito tu na tamaa (maana sometimes tamaa waweza ona ni Mapenzi... na akili yako ikashindwa kabisa tofautisha)
Hivo basi kua ndani ya ndoa is not a gurantee kua ulonae is the person you love (naomba nilisielewe vibaya...) sio kwamba I support.... NO! But ndio ukweli wenyewe.... Hivo basi katika hii hali kama you are married and in love na mtu ambae hamko married.... Disaster!
Nirudi kwenye topic yako... kama kweli unaempenda ndio Mwenza hio advice Umetoa is the Best to follow regarding na LOVE...
<br />Kuna tofauti kati ya kulinda na kulazimisha penzi
MJ1, hebu niambie hayo mahangaiko ni ya aina gani unayoyafanya mapenzi yadumu? Mi naona ni kujitesa tu........ Kama penzi halipo hata uhangaike na kuombewa na mapadre na mashehe wote duniani, hutaambulia kitu zaidi ya kutumiwa kama mashine na wala si penzi la dhati....
Hivi unajua huwa kuna mapenzi ya kuoneana huruma?
Sasa kaka yangu nimekuelewa. Nadhani uko sahihi kabisa kuwa ukililinda penzi lako kwa staili hiyo kamwe hutofanikiwa! Penzi halilindwi kwa bastola na mapanga, lakini pia penzi halina guarantee kuwa litalindika hapo ninakubaliana na wewe kabisa but si sawa pia kuliacha tu lenyewe lijiendee litakavyo, pamoja na kuwa pia hatuwezilipeleka kule tutakako!
Mie leo nahisi akili yangu ina mimba!! Imekaa kibishi bishi tu sijui kwa nini!
Shem, am worried ujue........Teamo... kama mtu ulomuoa ndio huyo unampenda Mshukuru saana Mungu na hakikisha kua kila siku unapiga magoti kumshukuru... For ina maana unamthamini Mkeo which is very good.... Achana na kitu kinaitwa Mapenzi... unaweza kua umeolewa/oa lakini bado you fall in love na mtu mwingine (it is not right but Mapenzi hauwashi ama kuzima kwa kuchagua) BUT what makes us better people ni ile utambuzi kua huyo ulo nae (mme/mke) hata kama humpendi tena ni mambo tu yametokea na kwambo you loved him/her once ... hivo hayo ni mapito tu na tamaa (maana sometimes tamaa waweza ona ni Mapenzi... na akili yako ikashindwa kabisa tofautisha)