Mtizameni ufoo saro sasa

Uchaguzi ulopita skuvi kawe waliwatuza watangazaji Masako na Fatma Nyangasa ilikuwa sahihi japo kiukweli kabisa Ufoo pia alistahili vile alipata misukosuko mingi ikiwa ni pamoja na kupopolewa mawe pale kibaha. Tafadhari wadau wa habari this time mtizameni binti huyu au kwakua anaripoti mikutano ya chadema.?Mtizamo
tu.Nawasilisha.

VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA. Kwani mapendekezo ya awli kuhusu hizo zawadi yalitolewa na aklina nani? Kama hayakutoka humu jamvini sidhani kama wanajamvi mna uwezo wowote wa kusababisha apewe zawadi. Kwani uliambiwa kupopolewa mawe ndo kigezo cha zawadi? AU ndo amekutuma ulete humu kwa malipo mlokubaliana?

Naona huyo mtu wako mwambie ajaribu tena mwakani, kama alipopolewa mawe akayakwepa huko kibaha, hiyo haitoshi kufaulu vigezo labda atafute janga jingine kubwa zaidi ya hilo.

 
Uchaguzi ulopita skuvi kawe waliwatuza watangazaji Masako na Fatma Nyangasa ilikuwa sahihi japo kiukweli kabisa Ufoo pia alistahili vile alipata misukosuko mingi ikiwa ni pamoja na kupopolewa mawe pale kibaha. Tafadhari wadau wa habari this time mtizameni binti huyu au kwakua anaripoti mikutano ya chadema.?Mtizamo tu.Nawasilisha.
Ufoo Saro si yule aliyezoea kuvuta miwaya
 
Back
Top Bottom