Mtizame Magufuli alivyopata wadhamini Iringa Vijijini

Vijijini watu ni wa chache
Vijijini huamini kazi kama hizi hufanywa na wakina baba
Kwa kijijini hawa ni watu wengi sana
 
pinda kapata watu kumi(wamdhamini), tu,Mtwara,Hawa Ghasia apagawa,
 
Magufuli sio kama hao walafi, walaghai, wanafuatana na waandishi maelf kama wanaonesha mazingaombwe. Wanatafuta publicity za kinafiki kuwalaghai watu wafanye makosa kwenye maamzi
 
Magufuli sio kama hao walafi, walaghai, wanafuatana na waandishi maelf kama wanaonesha mazingaombwe. Wanatafuta publicity za kinafiki kuwalaghai watu wafanye makosa kwenye maamzi

Kama ni kweli anaenda kwa mtindo huu, atakuwa anawakosha watanzania!
 
Atakayepata wadhamini mia nne hamsini wanaotakiwa kwa mikoa husika au atakayepata wadhamini laki tano kwa mikoa ile ile wote ujira wao ni mmoja. Kubeba wadhamini kama Lowassa na Membe wanavyofanya, ni upunguani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…