pinda kapata watu kumi(wamdhamini), tu,Mtwara,Hawa Ghasia apagawa,
mbona unajihami? kuna mtu kakuuliza?Vijijini watu ni wa chache
Vijijini huamini kazi kama hizi hufanywa na wakina baba
Kwa kijijini hawa ni watu wengi sana
mbona unajihami? kuna mtu kakuuliza?
Magufuli sio kama hao walafi, walaghai, wanafuatana na waandishi maelf kama wanaonesha mazingaombwe. Wanatafuta publicity za kinafiki kuwalaghai watu wafanye makosa kwenye maamzi