OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,102
- 114,689
Sitakuwa na maneno mengi, nitaweka nukuu tu ya vyanzo mbalimbali
‘‘Amezaliwa mwaka 80 tarehe 15 mwezi wa pili katika kijiji cha Kolomije Wilaya ya Misungwi mkoa wa Mwanza kwenye zahanati ya Kolomije ……na….tumemlea katika mazingira hayo na hata kufikia kuanza shule pale Kolomije na BAADAE KWENDA KUSOMA SEKONDARI (anajikuna mgongoni-tazama kuanzia dakika ya 10:23) NA BAADAE CHUO. Kwa sababu unasema kwa ufupi siwezi kutaja mwaka baada ya mwaka, kuna wakati fulani aliweza kusahahau lakini mwanzo wake ni pale kijijini Kolomije’’
Chanzo: Mama Suzan, Mama yake mzazi wa Makonda akihojiwa na Zamaradi katika kipindi cha Take One
‘’Kwa ufupi, Makonda ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi. Lakini safari yake ya kitaaluma ilikuwa ngumu kutokana na hali ya kipato cha wazazi wake. Kabla ya kwenda Moshi, alipita katika Shule ya Msingi Kolomije na amesoma pia katika Chuo cha Uvuvi, Mbegani, Bagamoyo ambako alisoma hadi ngazi ya Diploma katika masuala ya uvuvi.’’
Chanzo: Raia Mwema Paul Makonda ni nani? – Raia Mwema
‘’Amesoma shule ya msingi katika shule ya kolomije,sekondari alisoma kutokana na changamoto za kipato katika familia hakuweza kwenda kidato cha tano na kwenda chuo Mbegani chuo cha uvuvi mjini bagamoyo kuanza ngazi ya cheti,diploma na ata kufika chuo kikuu katika kuchukua shahada yake ‘’
Chanzo: Mtandao wa Seetheafricalink MAMBO 8 USIYOYAJUA KUHUSU MKUU WA MKOA DAR ES SALAAM. - "SeeTheAfricanLink"
CV ya Paul Makonda…………………………………………………………………………………………………………………………………….(Iko kimya)
Chanzo: Mtandao wenye CV za Wabunge na Watu maarufu
Profile of TAHLISO Chairman, Paul Makonda
Education
Moshi Cooperative College and Business Studies
Chanzo: Mtandao wa Zoominfo Paul Makonda | Tahliso | ZoomInfo.com