Mtiririko wa Elimu ya Mh. Makonda katika ngazi ya Kidato cha Nne unafifia

Waitara,kyaro,nyirabu na siyo hawakuwa kabila moja na mwl Nyerere, Nyerere mzanaki hao wengine wa kura na jamii. Kwanini ukabila wenu unauhalalisha kwa kutumia matendo yasiyo fanana na Nyerere????
NI KANDA YA KUSINI NA WANATOKA WOTE RUFIJI SIYO? NAFASI HIZO NI MAPENZI YA MTEUZI HABANWI NA KIFUNGU CHOCHOTE CHA KATIBA NI SAWA NA WEWE PESA ZAKO UNAMPA NANI AKUTUNZIE AU MKEO UNAMWACHA WAPI WAKATI UNAKWENDA ENEO LISOHITAJI UWEPO WA MKEO KWA HIYO USILIE NDG YANGU SUBIRI WA KWENU AKIJA NAYE ATAFANYA YANAYOURIDHISHA MOYO WAKE.
 
kutoka kwa daudi albert bashite a.k.a paul makonda "...ni heri kuwa mkuu wa mkoa kwa siku moja kuliko kuona watu wa mkoa wako wanaangamia na madawa ya kulevya.." ni hayo tu..

Kaza uzi kaka mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe toka lini muarobaini ukapopolewa mawe wakati mzambarau upo.??????????????????????????? UMETIKISA NCHI NZIMA SIYO DSM PEKE YAKE MAKONDA WEWE NI NABII USIOGOPE MUNGU YUPO PAMOJA NA WEWE UMEFANYA YALE AMBAYO HATA MARAIS WALIOPITA HAKUNA ALIYEKAMATA MADAWA YA KULEVYA KAMA WEWE ULIVYOWAAMSHA NCHI NZIMA KEEP IT UP.
 
yupo Dada Mmoja ni mwalimu....anasema Jamaa alipata Zero F masomo yote na D ya kiswahili.
 
Dhana na Vita ya Vyeti Fake imekufa kifo cha Mende kama Vita ya Madawa ya Kulevya
 
Enzi zile kununua cheti ilikuwa cheap,halafu kumbuka kuwa Daudi ana tabia ya kujipendekeza kwa wenye pesa,hivyo asingekosa elfu 10 ya kununua cheti.
Lana ya Huyu bwana ni kumpiga Mtama Mzee warioba, namshangaa Kipi pamoja na ukenya wake ku put up na hiyo rubbish. Tapes zipo uchaguzi umepita sasa nenda mahakamani . You are also cheap ni Huo u dc?
 
mzee Albert bashite na mkewe wanaonekana nao ni wasanii Kama mtoto wao Daudi
 
Daudii umekimbia mahakamani, umeikimbia radio yako ya clouds, na una mpango wa kukimbia kuhojiwa na bunge, mwaka huu wako utajuta kuapata zero form four, nilitaka kusahau lisu anakusubiri kwa hamu mahakama kuu akupige maswali ya elimu yako mpaka uone kizungu zunngu
lukuvi nae anamsaka bashite kazi anayo mwaka huu
 
Back
Top Bottom